TCCIA YAELEZEA FURSA ZA MASOKO DRC CONGO “UNION MEAT GROUP”
Dar es Salaam, Septemba 2024 – Makamu wa Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda, na Kilimo Tanzania (TCCIA) anayeshughulikia Viwanda, Bw. Abdul Mwilima, pamoja na Afisa kutoka Idara ya Biashara TCCIA, Bi. Fatuma Hamis, watoa uzoefu wa kibiashara na masoko ya Afrika Mashariki kwenye bidhaa za nyama, walipofanya ziara katika kiwanda kipya cha “Union Meat Group” ili kukagua miundombinu ya uzalishaji wa nyama kiwandani hapo. Wakizungumza na Meneja Masoko wa Union Meat Group, Bwana Maron Kogi Kwa niaba ya TCCIA, Bw. Mwilima alitoa elimu ya masoko yanayoweza kupatikana ushoroba wa Magharibi hasa eneo la kusini mwa Kivu Jimbo la Bukavu na Ziara ya kibiashara ya TCCIA katika maeneo hayo. #AfrikakwaAfrika #history #afcfta #kaziiendelee🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿 "Private sector engine of growth" #kaziiendelee🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿 @ikulu_mawasiliano@ikulu_habari@uwekezajiviwandabiashara @tantradetz@tnbc_tz@tpsf_tanzania @sido_tanzania @tratanzania@eastafricatrias@wasafitv @tbc_online@channeltentanzania@tzwomenchamber_twcc @tcciambeya@tcciamkuranga@tcciamanyara @tccia_dsm@tcciakahama@tcciamwanza_official @tcciakigoma@tcciadodoma@tcciabusinesstv @tcciaarusha@zanzibar_chamber@tantrade_updates @tantrade_updates@zanzibar_chamber@afcftasecretariat @eastafricatrias@trademarkafrica@tanzaniawomenceosroundtable @tccia_coast_region

#TBC1: WEKEZA TANZANIA: SHUHUDIA KIWANDA CHA KIMATAIFA CHA NYAMA TANZANIA

TCCIA YAELEZEA FURSA ZA MASOKO DRC CONGO “UNION MEAT GROUP”

We export 25 tonnes of meat per day to Dubai: Nicholas Ngahu | Meat Expo Pre-Launch

NILIMUOMBA KAKA ANILIPIE KODI YA MIEZI MITATU NIBAKI DAR | NIMETOKA KIJIJINI SANA | MAJID NSEKELA

KIJANA WA MIAKA 32 ANAYEMILIKI MALORI 7 YA FAW, ALIKOPA KWA KUTUMIA NYUMBA AKAMFICHA MKEWE

TCCIA YATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA CHA “UNION MEAT GROUP”

DRAMA In Parliament As Ndindi Nyoro Badly Clashes With Kimani Ichung'wah Over National Debt!

BREAKING: Immediate GSU changes announced in Kenya

LIVE : RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIWA NJIANI KURUDI DAR ES SALAAM

BREAKING! SAMIA KUMNG'OA NCHIMBI PUNDE | HOJA YA KUTOKUWA NA IMANI NA MAKAMU KUWASILISHWA BUNGENI

Afghan most Famous Kabuli Pulao | Pakistani Karahi | Biryani recipe | Roasted chicken | Street food

GOOSEBUMPS! THE WORLD STOPPED TO WATCH MOROCCO BEAT BRAZIL FOR THE FIRST TIME IN HISTORY

MASHINE ZA KISASA ZA KILIMO ZATAWALA MAONESHO YA KILOLO EXPO 2026

Today: Iran ceasefire on verge of collapse, and the Supreme Court's remaining cases this term

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 11.06.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast

"BODI YA PAMBA: ZAO. LA PAMBA LINA FURSA KUBWA ZA AJIRA NA UCHUMI KWA WANANCHI"

MJASIRIAMALI HUYU ALIANZIA CHINI NA SASA ANAMILIKI KIWANDA CHA KUTENGENEZA SABUNI KWA MSAADA WA SIDO

BODI YA KOROSHO YAFUNGUKA FURSA KUBWA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI

KONGAMANO LA FURSA ZA BIASHARA KUSINI MWA DRC LAVUTIA WENGI

