MAFURIKO YAVAMIA KIJIJI MTWARA| KAYA 400 MATATIZONI| WATU 1000 WAHIFADHIWA GHALANI
Zaidi ya Wananchi 1000 wa Kijiji cha Kivava Kata ya Mahurunga Wilaya na Mkoa wa Mtwara, wamelazimika kuyakimbia makazi yao baada ya Kijiji hicho kuvamiwa na Mafuriko na Nyumba zao kubomolewa huku Mifugo, na baadhi ya Vitu vyao vikisombwa na Maji. Ikumbukwe kuwa Mwezi kama huu (Mwezi Aprili) Mwaka jana, Kijiji hicho kilikumbwa na Mafuriko ingawa hakukuwa na Athari kubwa kama ilivyo mwaka huu 2024. Faida Online tumefika Kijijini hapo na kukuandalia taarifa hii. SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL HII ILI KUPATA HABARI TETU

▶︎
Air Tanzania Cockpit Boeing 767-300 Freighter to Kinshasa

▶︎
AJALI YA GARI YAUA MKE NA MUME WAKIWA WAMELALA NDANI| DEREVA AKANDAMIZWA NA GOGO

▶︎
HECHE AMEKIWASHA UPYA AFICHUA KESI YAO AMJIBU KENANI BILA UOGA, HATUWEKWI MFUKONI SISI

▶︎
MAGARI YA DANGOTE YAUA MTWARA | DEREVA MMOJA ATOWEKA NA MWINGINE ASHIKILIWA NA POLISI

▶︎
Pakistani Truck Parts Repair with a Master Mechanic Amazing Restoration

▶︎
WATOTO WAWILI WA FAMILIA MOJA WAFARIKI NDANI YA WIKI MOJA| IMANI ZA KISHIRIKINA ZATAJWA

▶︎
How China Built an Impossible Bridge Above the Clouds

▶︎
Waliopata ajali ya Meli waokolewa. #views #foryou #zanzibar #tanzania

▶︎
"WANATAKA KUTUDHULUMU ARDHI YETU" WANANCHI MTWARA| SERIKALI YAAHIDI KUMALIZA MALALAMIKO HAYO

▶︎
Mfangano Island; The home to the assimilated Abasuba community from Buganda kingdom.

▶︎
DKT. TULIA AANZA RASMI UJENZI WA NYUMBA YA BI. QEEN MTAA WA TONYA JIMBO LA UYOLE.

▶︎
MTOTO WA MIAKA MITANO AFARIKI KWA KUZAMA KWENYE MAJI MTWARA| WANANCHI WAMIMINIKA KUMZIKA

▶︎
WANANCHI MTWARA WAMKATAA MWEKEZAJI WA KIGENI WAKIDAI KUWA ATAATHIRI SHUGHULI ZAO ZA UVUVI

▶︎
President Trump arrives in France for G7 Summit

▶︎
UZINDUZI WA KAMPENI KITAIFA Ya MATUMIZI YA VITUO VYA UTAMBUZI NA UPIMAJI WA WATOTO ( ESRACs )

▶︎
Achoma chumba Cha aliyekua mumewe, mke asikitika, Kianga Zanzibar.

▶︎
SECONDS! Female Pilot of U.S. C-17 Takes Off at Full Speed Amid an Emergency

▶︎
MAJI YANAYOWAKA MOTO YAWAIBUA WATAFITI WA GESI NA MAFUTA MTWARA

▶︎
AJALI YA GARI NA BODABODA YASHUHUDIWA MIGOMIGO MTWARA

▶︎
