2. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan
Hili ni somo muhimu linalolenga kukusaidia kutambua wito wako. Watu wengi katika dunia hii hawajui wito wao ni nini. Si hivyo tu, lakini pia watu wengi hawajui kwa nini wapo duniani, na hawajui ni kwa nini walizaliwa. Mungu anafanya mambo yote kwa sababu maalum. Hujaja hapa duniani kwa bahati mbaya. Mungu alikuleta hapa duniani kwa sababu maalum. Unaposikiliza na kujifunza somo hili, utapata majibu ya maswali ya maisha yako. Utajua ni kwa nini Mungu amekuleta duniani, na utajua ni kitu gani Mungu alikuumbia kukifanya hapa duniani. Nakuombea, somo hili lifanyike msaada na baraka kwenye maisha yako. Mungu akubariki sana. Amen! Isaac Javan Phone | +255 745 76 45 72

▶︎
3. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan

▶︎
WITO WA MUNGU | EV DANIELY JOSHUAN.

▶︎
1. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan

▶︎
WITO WANGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO

▶︎
5. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan

▶︎
Call Me Naomi, Don't Call Me Mara || Pst T Mwangi || Life Church Limuru

▶︎
Jinsi ya kutambua Huduma yako au wito wako EPSODE 01 IJUE KARAMA YAKO

▶︎
4. MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA KIROHO | Mwl. Isaac Javan

▶︎
7. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan

▶︎
6. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan

▶︎
DAY 2-NGUVU YA UUMBAJI KATIKA ROHO MTAKATIFU -MWL.MGISA MTEBE-DODOMA

▶︎
NENO LA SIKU | Mathayo 9 | Maombi Ya Toba Na Uponyaji | Isaac Javan

▶︎
10. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Final | Mwl. Isaac Javan

▶︎
38. MAOMBI YA KUPONYA HISTORIA || KUITOA NAFSI KWENYE KIFUNGO CHA MAHUSIANO | MWL. ISAAC JAVAN

▶︎
Maombi ya kufunguliwa - Mwl.Davidney kaale

▶︎
USINIPITE BWANA - DEEP RELAX SWAHILI WORSHIP SONGS

▶︎
UNAVYOWEZA KUGEUZA MOYO WA MTU KWA KUTUMIA NENO LA KRISTO - MWL. ISAAC JAVAN - (12 FEBRUARY 2012)

▶︎
JINSI YA KUSIMAMA NA DAMU YA YESU KWA LOLOTE || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 06/11/2022

▶︎
2. MAOMBI YA KUSHINDA VITA YA KANSA | Kukata Rufaa Ya Mauti | MWL. ISAAC JAVAN

▶︎
