7. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan
Hili ni somo muhimu linalolenga kukusaidia kutambua wito wako. Watu wengi katika dunia hii hawajui wito wao ni nini. Si hivyo tu, lakini pia watu wengi hawajui kwa nini wapo duniani, na hawajui ni kwa nini walizaliwa. Mungu anafanya mambo yote kwa sababu maalum. Hujaja hapa duniani kwa bahati mbaya. Mungu alikuleta hapa duniani kwa sababu maalum. Unaposikiliza na kujifunza somo hili, utapata majibu ya maswali ya maisha yako. Utajua ni kwa nini Mungu amekuleta duniani, na utajua ni kitu gani Mungu alikuumbia kukifanya hapa duniani. Nakuombea, somo hili lifanyike msaada na baraka kwenye maisha yako. Mungu akubariki sana. Amen! Isaac Javan Phone | +255 745 76 45 72

▶︎
8. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan

▶︎
SEMINA YA ROHO MTAKATIFU SIKU YA KWANZA 11/06/2026 by Innocent Morris

▶︎
7. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan

▶︎
SEMINA YA ROHO MTAKATIFU SIKU YA KWANZA 11/06/2026 by Innocent Morris

▶︎
1. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan

▶︎
8. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan

▶︎
10. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Final | Mwl. Isaac Javan

▶︎
6. DALILI ZA KURUDI KWA YESU NA UNYAKUO WA KANISA | Mwl. Isaac Javan

▶︎
IBADA YA UPONYAJI WA MOYO | MWL. ONESMO | 22 DECEMBER 2024.

▶︎
5. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan

▶︎
JE! SIKU ULIYOZALIWA ULITOLEWA SADAKA?

▶︎
6. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan

▶︎
1. DALILI ZA KURUDI KWA YESU NA UNYAKUO WA KANISA | Mwl. Isaac Javan

▶︎
UNYAKUO WA SIKU ZA MWISHO - Askofu Moses Kulola

▶︎
5. MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA KIROHO | Mwl. Isaac Javan

▶︎
3. MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA KIROHO | Mwl. Isaac Javan

▶︎
4. MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA KIROHO | Mwl. Isaac Javan

▶︎
Dodoma; Wabunge walilia Trump kutomkamata Samia na Wabunge wa CCM kuhusu Mauaji mengi ya Oktoba 2025

▶︎
Vitu vya kuzingatia wakati unaomba mume / mke kutoka kwa MUNGU

▶︎
