CCM YAMKATAA NAPE KISA KAULI YA USHINDI "NJE YA BOKSI" MWENYEWE ATOA UFAFANUZI
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema video inayosambaa ikimuonyesha akisema kuna mbinu nyingi za CCM kushinda uchaguzi ikiwamo zisizo halali imepotoshwa na hakuwa na maana iliyotafsiriwa na watu wengi. “Nimeona mjadala wa video hii. inapotoshwa kwa kukata vipande watakavyo wapotoshaji. Msingi wa mjadala huu ulikuwa utani wa hoja ya zamani ya “goli la mkono”.. uliorushwa wakati naongea ndio maana kuna kicheko kabla. Haikuwa serious version. Mimi muumini wa uchaguzi huru na haki. Vizuri tuendelee kushindana kwa hoja,”ameandika katika ukurasa wake wa mtandao wa X leo Jumanne Julai 16, 2024. Nape ameibuka kuelezea hoja hiyo ikiwa ni saa chache tangu Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla leo, aseme kauli hiyo haitokani na msimamo wa chama hicho. “Kuna kiongozi nimemsikia huko mitandaoni anasema eti ushindi wa uchaguzi hautokani na kura za kwenye boksi, mimi nataka nimwambia hiyo kauli isitazamwe kuwa inatokana na CCM,” amesema. Nnauye aliyewahi kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, alitoa kauli hiyo jana Julai 15, 2024 usiku alipotembelea soko la Kashai mkoani Kagera na kuzungumza na wananchi. Muktadha wa kauli hiyo ilikuwa ni kuwahakikishia ushindi wa Mbunge wa Bukoba Mjini, Stephen Byabato katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Nnauye ambaye kwa sasa ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alitoa kauli hiyo. “Unajua nyie sikilizeni, matokeo ya kura sio lazima yawe ya kwenye boksi, inategemea nani anahesabu na kutangaza. Na kuna mbinu nyingi kuna halali, nusu halali na kuna haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi tu mkishamaliza unamwambia Mwenyezi Mungu nisamehe pale nilipokosea,” alisema.

"WAZIRI AMEONGEA KITU AMBACHO HAKIJUI" MADELEKA AMPASUA KATAMBI BILA UOGA

🅻🅸🆅🅴.....🔴#LIVE; WAKILI PETER MADELEKA ANAZUNGUMZA MAZITO MUDA HUU..

DAWA YA RUTO!! Listen to Matiangi Powerful Remarks today in Kirinyaga destroying Kasongo badly

“Jambo hili linaenda kuiua CCM, mnataka kutuua” –Nape Nnauye

E PLOTË/ Sherri me fyerje i Ramës me Bushatin, braktisin intervistën: Ordinerë, prokurorë popullorë

AFRIKA YAFANYA MAAJABU 'SHARPNESS' YA MAYELE KOMBE LA DUNIA, WASAUZI DIMBANI LEO UCHAMBUZI WA NAHEKA

KAMANDA MULIRO: USO KWA USO NA SALIM KIKEKE/ KUTEKWA/ DAR IPO SALAMA/ AJIBU KUHUSU UTEKWAJI

"DON'T THREATEN ME": HECHE RESPONDS TO MINISTER KATAMBI IN MPANDA, Reveals the Whole Story

ODM MAKE DANGEROUS MISTAKE THAT ANGERS RUTO, AND WILL EVENTUALLY COST HIM THE PRESIDENCY!

TEUZI ALIZOFANYA RAIS SAMIA, MZEE MAKAMBA AFUNGUKA, SAMIA APONGEZWE ANAFANYA KAZI NZURI

Historia ya Hayati Luteni Jenerali Silas Mayunga Vita Vya Kagera.

Meet the Former CIA Agent Who Wants to Abolish the CIA

MPINA, "MAKAMBA AKAMATWE, AMEFANYA UBADHIRIFU MKUBWA, NI MPIGAJI/ AMEIHUJUMU SERIKALI"

Unity Club Meeting | Opening Remarks by President Kagame | Kigali, 27 June 2026

Nape amvaa Tundu Lissu Bungeni kuhusu kumwita Rais Samia Mzanzibari

MAX AFUNGUKA ALICHOKIONA KWA PACOME UWANJANI

MCHUNGAJI MSIGWA AMVAA MBOWE kwa MARA ya KWANZA MKUTANONI kwa CCM - AFICHUA MADUDU YOTE ya CHADEMA..

MSIGWA ATANGAZA VITA na MBOWE - LEMA - LISSU - "WAPINZANI WASIPATE KITI HATA KIMOJA - NINA SABABU"..

🔴#Live: MKEKA WOTE HUU HAPA - SHIGONGO - MAKONDA - WAITARA - BULAYA - KIHONGOSI - NAPE NDANI...

