SIKU YA 2 TAREHE 06/ O6 /2026

Karibu kufuatilia Ibada ya Moja kwa Moja kutoka Kanisa la Keys of Christ, lililopo Kigamboni – Ungindoni, Kenan Street, chini ya uongozi wa Mtumishi wa Mungu Senior Pastor Peter Chagula & Pastor Abby Chagula. Ibada hii inapatikana moja kwa moja kupitia: 📻 Fungua Radio Online (https://onlineradiobox.com/tz/fungua/) 📱 Facebook Live: Pst Peter Chagula Katika ibada hii, tarajia: ✅ Kukutana na Yesu ✅ Kufunguliwa ✅ Kupokea uponyaji Kupitia mafundisho ya Neno la Mungu na maombi ya kiroho, yote katika jina la Yesu Kristo. Kwa Maombi, Ushauri au Kutuma Sadaka: 📞 Vodacom: 0754 752 550 (Jina: Chagula Mwita) 💬 WhatsApp: +255 754 752 550 Mungu akubariki sana! #Ibada #Maombi #Mafundisho #KeysOfChrist