Nafasi ya Baba katika Familia - Dr Chris Mauki

Kwanini wababa wengi leo sio wawajibikaji? Shida iko wapi? Je unaijua nafasi ya baba kwenye familia? Nakupa maeneo manne yanayothibitisha nafasi ya baba kwenye familia yake