RAIS DKT MAGUFULI ATANGAZA SIKU NNE ZA MAOMBOLEZO KUFUATIA AJALI YA KIVUKO CHA MV NYERERE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza siku 4 za maombolezo kuanzia leo tarehe 21 Septemba, 2018 kufuatia ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere katika ziwa Victoria na kusababisha vifo vya watu 131 waliothibitika mpaka sasa. Kivuko hicho kilipinduka na kasha kuzama majini jana mchana meta chache kabla ya kufika katika kisiwa cha Ukara kikitokea kisiwa cha Bugolora ambapo mpaka sasa watu 40 wameokolewa wakiwa hai, miili 131 imeopolewa na zoezi la uokoaji.

▶︎
Kivuko cha Mv. Nyerere kimefikishwa nchi kavu, zoezi limekamilika.

▶︎
The Story Book : Kijana Mrithi wa Osma Bin Laden / Ibrahim Al Asiri

▶︎
HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUTEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA

▶︎
MWANZO MWISHO: Shuhudia shangwe za Wanaukara Mv. Nyerere ilivyotolewa majini

▶︎
Magnitude 9.3: at the heart of the Tsunami

▶︎
WAZIRI MAKONDA AWAVAA CHADEMA BUNGENI | WANAZUNGUKA KUKINANGA CHAMA CHA MAPINDUZI | SISI WAKUBWA

▶︎
Air Tanzania Cockpit Boeing 767-300 Freighter to Kinshasa

▶︎
HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUWAAPISHA WAKUU WA MIKOA, MAKATIBU NA NAIBU MAKATIBU WAKUU

▶︎
KIPINDI CHA UZINDUZI WA DARAJA LA MAGUFULI NA BARABARA YA KIDATU - IFAKARA

▶︎
MKEWE LISSU ASHINDWA KUZUIA MACHOZI AKIONGEA MBELE YA KAMATI YA HAKI ZA BINADAMU YA JUMUIYA YA ULAYA

▶︎
Inama ya Unity Club | Gen (Rtd) Fred Ibingira

▶︎
Azam TV – JPM azungumzia sakata la elimu ya Makonda

▶︎
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE UFUNGUZI WA HOSPITALI YA TAALUMA NA TIBA - KAMPASI YA MLOGANZILA

▶︎
Pencoo De Ce Vedredi 06 Février 2026 Invité RENE PIERRE YEHOUME / Abdou Karim Camara Sur WalfTv

▶︎
HOTUBA YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWENYE UZINDUZI WA MPANGO WA KILIMO AWAMU YA PILI (ASDP II )

▶︎
HOTUBA YA RAIS DKT.MAGUFULI KWENYE SHEREHE YA KUAZIMISHA MIAKA 56 YA TANZANIA BARAM

▶︎
KAMISHNA JENERALI DR. JUMA MALEWA AELEZA NAMNA MSAMAHA WA RAIS KWA WAFUNGWA ULIVYOPOKELEWA

▶︎
HECHE: MKE WA TUNDU LISSU NA DADA YAKE POLE POLE WAMEUWASHA MOTO BUNGE LA ULAYA

▶︎
Umugore winjiye mu mashyamba ya DRC agatahana Gen RWARAKABIJE na NGENDAHIMANA//Hon.Anne Marie

▶︎
