Ziara nzima ya kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Mwanza, Wilaya ya Magu

Tuesday April 09,2018 Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, imeridhishwa na utekelezaji wa Ilani ya CCM ya Mwaka 2015 katika Wilaya ya Magu. Haya yamejili katika ziara ya ukaguzi wa utekelezaji wa ilani uliofanywa na kamati ya Siasa ya CCM mkoa wa Mwanza hapo 08.02.2019. Kamati ya Siasa ya Mkoa iliongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Dr. Anthony Mwandu Dialo akiwa ameongozana na Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza pamoja na wajumbe wa Kamati siasa ya Mkoa, alitembelea miradi tisa inayotekelezwa katika Wilaya Magu ambapo baada ya kujionea miradi hiyo kamati ililiridhishwa na thamani na ubora wa miradi hiyo kusisitiza kuwa Usimamizi wa miradi ni mzuri. Miradi iliyokaguliwa na kamati ya siasa ni Mashine ya kisasa yenye kuongeza thamani ya zao la mpunga iliyoko katika kijiji cha Nyanguge, Upanuzi wa kituo cha afya Lugeye, Shamba la BUN LUGE na Shamba kilimo ya umwagiliji kwa nia ya mirefeji la Chenge lililoko katika Kijiji cha Bundilya, Kitekeo cha maji Busulwa katika mradi mkuwa maji unatarajiwa kuwahudumia zaidi ya kaya 5000 kwa mtandao kilomita 64, Miradi mingine ni Ujenzi wa vyumba vya madarasa katika Shule mpya ya Sekondari Buhumbi, Ujenzi wa Vyumba vya viwili vya madarasa vya A-Level na Hostel katika shule Sekondari Sukuma, Ukarabati wa mradi wa maji bomba Kijiji cha Kabila na Ujenzi wa Daraja kati ya kijiji cha Kabale na Nyasato. Dr. Dialo amesema kuwa tumefurahishwa na ushirikiano wenu Viongozi wa Chama na Serikali namna mnavyoendesha Serikali kwa mshikamano, Msigawike endeleeni kuchapa kazi kwa nguvu na akili zenu zote’ Hatujapokea malalamiko aidha kutoka kwa chama au kwa watendaji wa Serikali hii inamaanisha mko wamoja na ndiyo maana Magu inasonga mbele, Alisema Dr Dialo Mwwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza. Akizungmuzia miradi ameshauri pia Serikali Wilayani magu kujitahidi kuboresha mazingira ya wawekezaji wakubwa kwa kutatua migogoro inayojitokeza na jamii ili kuwafanya wawekezaji watimize ndoto zao za kuwekeza na sisi tuweze kutengeza ajira za wananchi wetu. Kwa upande wa wake Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Magu Isack Zabron ,amesema kuwa ziara ya kamati ya siasa imekuja kuimarisha utekelezaji wa ilani na kwamba maagizo na ushauri wote utazingatiwa kwa ajili ya kuboresha utendaji katika wilaya na chama

KISWAGA AANIKA MAFANIKIO YA CCM  JIMBO LA MAGU 2020 2024
▶︎

KISWAGA AANIKA MAFANIKIO YA CCM JIMBO LA MAGU 2020 2024

JANITOR vs THE BIGGEST GUYS IN THE GYM. They Didn’t Expect THAT
▶︎

JANITOR vs THE BIGGEST GUYS IN THE GYM. They Didn’t Expect THAT

Panama – England Highlights | Gruppe L, FIFA WM 2026 | sportstudio
▶︎

Panama – England Highlights | Gruppe L, FIFA WM 2026 | sportstudio

Hatimaye! KATAMBI AGEUKA MBOGO APIGILIA MSUMARI ZUIO LA MIKUTANO YA SIASA | AKANA KUVUNJA KATIBA
▶︎

Hatimaye! KATAMBI AGEUKA MBOGO APIGILIA MSUMARI ZUIO LA MIKUTANO YA SIASA | AKANA KUVUNJA KATIBA

UCHAMBUZI MZITO KUHUSU AGIZO LA MARUFUKU MIKUTANO, JE HII INAMAANA GANI?
▶︎

UCHAMBUZI MZITO KUHUSU AGIZO LA MARUFUKU MIKUTANO, JE HII INAMAANA GANI?

Perezida Kagame yavuze kuri Kayumba, Karegeya, Rudasingwa n’abandi | Ukuri kw’amateka no kwicuza
▶︎

Perezida Kagame yavuze kuri Kayumba, Karegeya, Rudasingwa n’abandi | Ukuri kw’amateka no kwicuza

Unity Club Meeting | Opening Remarks by President Kagame | Kigali, 27 June 2026
▶︎

Unity Club Meeting | Opening Remarks by President Kagame | Kigali, 27 June 2026

KISWAGA MBUNGE WA MAGU ALIVYOTOA MCHANGO WA KUPONYA UCHUMI WA TAIFA
▶︎

KISWAGA MBUNGE WA MAGU ALIVYOTOA MCHANGO WA KUPONYA UCHUMI WA TAIFA

Mwigulu Atangaza Mikutano ya Siasa Itarejea tena Tarehe 7 au 8 Mwezi wa Saba "Lakini Tutalinda Amani
▶︎

Mwigulu Atangaza Mikutano ya Siasa Itarejea tena Tarehe 7 au 8 Mwezi wa Saba "Lakini Tutalinda Amani

KISWAGA SERIKALI IONGEZE TIJA UZALISHAJI WA NDANI
▶︎

KISWAGA SERIKALI IONGEZE TIJA UZALISHAJI WA NDANI

MBUNGE KISWAGA AIDHINISHA 84 MILIONI KUCHOCHEA MIRADI MINNE YA MAENDELEO -MAGU
▶︎

MBUNGE KISWAGA AIDHINISHA 84 MILIONI KUCHOCHEA MIRADI MINNE YA MAENDELEO -MAGU

IPO SIKU WATATUUA | TUNAENDA KULALAMIKA NJE YA NCHI, AFICHUA UKARIBU NA KATAMBI WAKIWA CHADEMA
▶︎

IPO SIKU WATATUUA | TUNAENDA KULALAMIKA NJE YA NCHI, AFICHUA UKARIBU NA KATAMBI WAKIWA CHADEMA

KISWAGA SERIKALI IONDOE VIKWAZO VYA KIKODI KWA WAWEKEZAJI WAZAWA
▶︎

KISWAGA SERIKALI IONDOE VIKWAZO VYA KIKODI KWA WAWEKEZAJI WAZAWA

HECHE: MKE WA TUNDU LISSU NA DADA YAKE POLE POLE WAMEUWASHA MOTO BUNGE LA ULAYA
▶︎

HECHE: MKE WA TUNDU LISSU NA DADA YAKE POLE POLE WAMEUWASHA MOTO BUNGE LA ULAYA

MAKOLOGOTO ANG'ARA WDC YA KWANZA KAHANGARA  ,MAGU
▶︎

MAKOLOGOTO ANG'ARA WDC YA KWANZA KAHANGARA ,MAGU

እሷ ከሌለች ደስታ ለኛም አይሆንም! .. የኔ መንገድ Yene Menged #MinberTV
▶︎

እሷ ከሌለች ደስታ ለኛም አይሆንም! .. የኔ መንገድ Yene Menged #MinberTV

MZEE SAID!SIMBA NA YANGA WOTE AWATOPOTEZA MCHEZO BINGWA YANGA/KWA NIN FINAL IPELEKWE GOMBANI PEMBA?
▶︎

MZEE SAID!SIMBA NA YANGA WOTE AWATOPOTEZA MCHEZO BINGWA YANGA/KWA NIN FINAL IPELEKWE GOMBANI PEMBA?

🔵LEMA AMCHAPA ZA USO KABUDI JIMBONI KWAKE KILOSA
▶︎

🔵LEMA AMCHAPA ZA USO KABUDI JIMBONI KWAKE KILOSA

Uruguay – Spanien Highlights | Gruppe H, FIFA WM 2026 | sportstudio
▶︎

Uruguay – Spanien Highlights | Gruppe H, FIFA WM 2026 | sportstudio

Sh Xassaan Oo Ka hadlay Xukunka Wadaadhii taageeray ictiraafka yahuuda iyo xadhigii Sh maxamad wali
▶︎

Sh Xassaan Oo Ka hadlay Xukunka Wadaadhii taageeray ictiraafka yahuuda iyo xadhigii Sh maxamad wali