"LISSU NA WENZAKE WASIWAONEE, KUGOMBEA NA KUTOKUGOMBE NI HAKI YENU NA TUTAWAUNGA MKONO" DKT NCHIMBI
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt Emmanuel Nchimbi amesema Sio dhambi kwa Chama chochote cha Siasa kugoma Kushiriki Uchaguzi ambao upo Kisheria, Hivyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kipo Sahihi na wala hakija vunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa Sababu vyama vingine vipo tayari kushiriki Katika Uchaguzi ikiwemo CCM. Dkt Nchimbi ameyasema hayo leo April 4,2025 wakati akifungua mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF). Songea "Nitoe rai kwamba tuepuke kuisema CHADEMA kuhusu msimamo wake huo, kwa Sababu wakisusia Uchaguzi wa Mwaka huu, Bado kuna Chaguzi zingine wanaweza kushiriki, ila kwa wanachofanya ni haki yao kikatiba waachwe waitimize" Dkt Nchimbi

▶︎
Perezida Kagame yavuze kuri Kayumba, Karegeya, Rudasingwa n’abandi | Ukuri kw’amateka no kwicuza

▶︎
LISSU ATEMA NYONGO | 'SITOKUBALI UHUNI, NA SITAHAMA CHADEMA LABDA NIFE AU NIFUKUZWE'

▶︎
Kiwewe cha ‘polygamist’: Je wanawake wengi wanaezapenda mume mmoja kwenye ndoa | Gumzo La Sato

▶︎
🔴#Live: CHADEMA WAKANYAGANA - WAMLIPUA VIKALI LISSU - WAPINGA KUSUSIA UCHAGUZI MKUU...

▶︎
SIJAVUNJA KATIBA KUZUIA MIKUTANO YA SIASA, NIPO TAYARI KUPOTEZA NAFASI YANGU - WAZIRI KATAMBI

▶︎
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano yasiyokuwepo"

▶︎
Historia ya Hayati Luteni Jenerali Silas Mayunga Vita Vya Kagera.

▶︎
Unity Club Meeting | Opening Remarks by President Kagame | Kigali, 27 June 2026

▶︎
"HII SIYO NCHI INAYOTAFUTA DAMU" DKT NCHIMBI AUPIGA MARUFUKU WIMBO UNAOCHOCHEA CHUKI, AMTAJA LISSU

▶︎
TUNDU LISSU NA DEODATUS BALILE WAHENYESHANA VIKALI,WARUSHIANA MANENO

▶︎
MASWALI MAZITO YA WAANDISHI WA HABARI KWA CHADEMA G 55 ''HAMJATUMWA NA MBOWE''

▶︎
BODA BODA AGONGA TRENI - MUENDESHA PIKIPIKI ZINGATIA USALAMA UNAPOVUKA KATIKA KIVUKO CHA RELI

▶︎
Godbless Lema Atoa Taarifa Nzito Kilichotokea Kisutu : 'Watu Wamepigwa Sana'

▶︎
🔴#Live: TUNDU LISSU ATOA MATAMKO MAZITO - ''TUKISHINDWA SISI WATAKUJA WATOTO WETU''...

▶︎
TUNDU LISSU NA WANAOISHAMBULIA CHADEMA NDANI YA CHAMA AFIKISHA UJUMBE KWAO...

▶︎
ONYO la DK NCHIMBI - "CCM HAITAVUMILIA WANAOKIUKA KANUNI" - AWAONYA WALIOANZA KUJIPITISHA MAJIMBONI

▶︎
🔴#LIVE: DKT NCHIMBI AKIFUNGUA MKUTANO MKUU MAALUMU WA JUKWAA LA WAHARIRI SONGEA

▶︎
Dk Nchimbi Amjibu Lissu: CHADEMA Haiwezi Kuzuia Uchaguzi, Tusiwalazimishe Kuingia Kwenye Uchaguzi

▶︎
Fahamu Historia ya Dkt Emmanuel Nchimbi Mgombea Mweza wa Rais Samia 2025, Atoa Neno la Shukrani

▶︎
