#MANG'OMA NGOMA YA KINYAKYUSA, MBANGAMOJO - Tuhjebhombeghe Embombo #Mayele Style
#TraditionalDance #Nyakyusa #Wanyakyusa Mang'oma ni ngoma maarufu ya utamaduni wa Wanyakyusa. Ngoma hii huchezwa baada ya mavuno ya Mpunga na kipindi ambacho ndizi zinakuwa zimekomaa sana kwaajili ya chakula. kwa zamani, kila eneo lenye Chifu lilikuwa pia na ngoma yake ambayo inamtindo wake wa upigwaji na uchezwaji, ukiwa unatafsiri yake. Ngoma hii ya ing'oma huwa na malengo yake ambayo huwa ni Kudumisha umoja, Kuburudisha, Kuelimisha, Kudumisha Mila na Kutoa uwanja wa biashara. Ngoma hii ili ikamilike huwa na timu tano. Hizi timu huwajibika kwa mtindo wao na kazi yao maalumu ya kuchangiza kwatika kufanikisha kitoa burudani husika. Ngoma huwa na timu ya Wazee waongoza ngoma, Mpiga ngoma kubwa, Wacheza Stepu na Fimbo, Wapiga ngoma ndogo ndogo, Wapiga vivvuzela, Wacheza step bila fimbo. Katika michezo hii ya ing'oma ambayo hujumuisha ngoma kadhaa kutoka mahala mbalimbali ambazo zinakuwa zimealikwa kushiriki, huwa pia kunakumtafuta mshindi ambako hufanywa haswa na mashabiki, ambao huwa na jukumu kujua ni ngoma ipi imeongoza katika mwaliko huo.

KITULU KAPOSO ORG

NGOMA ya #WANYAKYUSA Ing'oma - KEIFO

Ilya pisange

Mpalano Mang'oma

This is a Nyakyusa Dance,hii Ngoma ni balaa tupu

Eco Travel Tanzania : Nyakyusa Ling'oma Traditional Dancers, Matema Beach, Kyela, Mbeya, Tanzania

NGOMA YA KINYAKYUSA "Mang'oma" (kehtuli-Ngeleka)

Ing'oma ( Ngoma ya asili ya kinyakyusa) "Ntapisi"

#NYAKYUSA TRADITIONAL DANCE - LUGOMBO #Kyela WAKIWA DAR ESS SALAAM

NYIMBO ZA KINYAKYUSA /NYIMBO NA NGOMA ZA KINYAKYUSA KUTOKA TUKUYU MWAKALELI TAZAMA SHANGWE LAO......

Mbangamojo Ngoma Ya Asili Iliyoacha Gumzo Kwa Style Za Mayele Tamasha la Mpalano

#MAGHOSI Mpandapanda "Nyakyusa Tradition Dance"

LUGOMBO-Ngoma ya Taifa

AMANG'OMA KYELA

NGOMA YA KINYAKYUSA: MWAKAMOGO SALUTE

NYAKYUSA DANCE 1

MCHUANO MKALI NGOMA ZA ASILI KYELA

NGOMA YA ASILI YA KINYAKYUSA AINA YA LING'OMA KUTOKA KAMBASEGELA

UTACHEKA KWA VITUKO VYA NGOMA WA MAGHOSI KWENYE JUKWAA LA DR. TULIA MBEYA

