Donas - Kiswahili

Unga wa ngano vikombe 3 Mayai 3 Siagi iloyayushwa vijiko vikubwa 3 Sukari vijiko vikubwa 3 Maziwa vijiko vikubwa 3 Baking powder vijiko 3 vidogo Kungumanga kijiko kidogo 1/4 (robo) au zaidi Mafuta ya kukaangia