Huu ndio ukweli kilichotokea Kwale na Shumba Mjini - 1
Kufuatia taarifa za mapigano baina ya wafuasi wa CCM wa kijiji cha Kwale na wafuasi wa ACT Wazalendo wa kijiji cha Shumba Mjini, wilaya ya Micheweni, kisiwani Pemba, ambayo yalipelekea watu kadhaa kujeruhiwa na kisha kuvamiwa kwa kijiji cha Shumba Mjini pekee na vyombo vya ulinzi na usalama, vilivyopiga mabomu, kuvunja majumba ya watu, kuchukuwa mali na fedha pamoja na kuwapiga na kuwakamata watu kadhaa, jioni ya saa 11:00 leo hii Jumapili ya tarehe 18 Oktoba 2020, Weyani TV imetembelea kijiji hicho kujionea hali ilivyo, ambapo imeshuhudia mitaa ikiwa mitupu na wanaume wengi wakiwa wamehama majumba yao kukimbilia maeneo mengine. Huu ndio ukweli wa tukio lenyewe kama linavyosimuliwa na mama ambaye ameomba asioneshwe sura yake.

▶︎
MAU MPEMBA NA DONGO VITUKO VYA PEMBA ZANZIBAR

▶︎
OTHMAN MASOUD AJILIPUA MBELE YA RAIS SAMIA ATOA TAMKO KWA TUNDU LISSU NA WAFUASI WAKE | KATIBA MPYA

▶︎
RADHIA APEWA TALAKA BAADA YA KUJIFUNGUA MAPACHA WANNE NA MUME KUKIMBIA NA VITU VYOTE VYA NDANI

▶︎
Maalim Seif afichuwa usanii wa akina Profesa Gogo waliodai kupigwa mapanga kwa siasa

▶︎
Ukweli kuhusu yaliyojiri Shumba ya Mjini - 2

▶︎
MAAJABU YA CHUMBA CHINI YA BAHARI, RAIS AMEWAHI KUFIKA, KULALA USIKU MMOJA NI ZAIDI YA MIL. 4

▶︎
Shumba Mjini Kujengwa Upya, DC Mgeni Aunga Mkono Mpango Huo

▶︎
KITOKA NYUMBA _Dongo/Kiswabi/Bi Kidecha/Naomba

▶︎
MBUNGE MUSUKUMA AKIELEZA MAGUMU ALIYOPITIA KATIKA SIASA NA BIASHARA | M&S PODCAST

▶︎
VILIO VYA PEMBA: RAIS AFANYA YAKE, SHUMBA MJINI, WALILIA MACHOZI

▶︎
Maeneo Huru ya Uwekezaji Micheweni Pemba

▶︎
PEMBA NI KISIWA CHENYE UTAJIRI

▶︎
MAHARI _Kachara I Mwinyi Mpeku I Kitatange I Kiswabi I Naomba

▶︎
it rained HEAVILY on our BEAUTIFUL African island

▶︎
Makamu wa Kwanza Ajionea Maendeleo ya Ujenzi wa Bandari ya Shumba Mjini

▶︎
WATU WAZIMA WAPIGANA KWA ARDHI SHUMBA MJINI NA MICHEWENI

▶︎
Tuliishi hapa, Mungu ametutoa mbali🙏🏼- Full old house tour

▶︎
MOTO:BANDARI YA PEMBA SHUMBA MJINI YALETA BALAA MSIMAMIZI WAKE AKAMATWA

▶︎
IGIZO: NDOA YA KACHARA NI AIBU.

▶︎
