KESI YA MKE WA BILIONEA MSUYA: SHAHIDI Atinga NA Kamera MAHAKAMANI KUWASILISHA VIDEO YA MAHOJIANO..
KESI YA MKE WA BILIONEA MSUYA: SHAHIDI Atinga NA Kamera MAHAKAMANI KUWASILISHA VIDEO YA MAHOJIANO.. Kutoka katika Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam nikuhusu upande wa utetezi kwenye kesi inayomkabili Mke wa Bilionea Msuya Miriam Mrita na Mfanyabiashara Revocatus Muyella umepinga kupokelewa kilelezo chenye ushihdi wa video iliyodaiwa kurekodiwa Kwa pamoja washtakiwa hao wanadaiwa kumuua kwa kumchinja dada wa marehemu Msuya, Aneth Msuya nyumbani kwake Kigamboni jijini Dar es Salaam tahere 25 Mei 2016 ikidaiwa Allan Kimario (4) akishuhudia . Leo Machi,8, 2022 mbele ya Jaji Edwin Kakolaki upande wa Jamhuri ukiwasilisha ushahidi wao uliobebwa na shahidi wa sita Inspekta Alistides Kasigwa ambaye ni mchunguzi wa picha mbalimbali zinazohusu matukio ya kihalifu na zile zisizokuwa na kihalifu akiongozwa na wakili Mwandamizi wa wa serikali Genes Tesha huku upande wa utetezi ukiwakilishwa na Wakili Peter Kibala wakili Tesha amemuongoza shahidi huyo kuanza kutoa ushahidi wake kwenye mahakama hiyo na kwamba ushahidi wake ulibebwa na vielelezo viwili kimoja bahasha na cha pili ni tape aliyodai ndiyo iliyotumika kurekodi mahojiano yake na Ofisa wa Polisi kutoka kwenye Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaa SP Latifa Mohamed. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: [email protected] OR [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

WAKILI PETER MADELEKA ni POLISI! AFUNGUKA KUHOJIWA UTORO KAZINI - ASEMA YEYE ni ZAIDI ya IGP...

WAKILI MADELEKA AISHITAKI SERIKALI MAHAKAMANI, ATAKA KUFUTIWA HATIA KWA KESI ALIYOLIPA MIL 5 KWA DPP

MNYUKANO MALI ZA BILIONEA MSUYA: DADA AUMBULIWA MBELE YA DC MURO "HUJAMSOMESHA"

UTETEZI WA MKE WA BILIONEA MSUYA, ADAI KUPIGWA NA ASKARI, ALIPEWA CHAI NA MAANDAZI

Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru

MALI ZA BILIONEA ERASTO MSUYA ZAITESA FAMILIA,FULL STORY HII HAPA

SABAYA ACHANGANYIKIWA NA MASWALI MAHAKAMANI/ AKIRI KUMILIKI SILAHA

MTOTO WA MAREHEMU BILIONEA MSUYA AMLILIA MAGUFULI, MALI ZAMTESA!

Uchambuzi: Hoja za ushindi wa Mke wa Bilionea Msuya Mahakamani kesi ya mauaji

FAMILIA YA ERASTO MSUYA YAKUBALI YAISHE,KESI YA MIRATHI KUONDOLEWA MAHAKAMANI, FULL STORY HII HAPA

Kibatala afunguka baada ya kushinda kesi asema ' watu wa Arusha nimewaletea dada yenu hatudaiani'

WAKILI MADELEKA ARUDI TENA MAHAKAMANI KUPINGA HAKIMU KUFUKUZWA KAZI na KULIPA MILION 5 KWA DDP ...

WAKILI MADELEKA ang'aka Mahakama ikitoa hukumu kesi ya aliyemshtaki IGP, wenzake

BILLIONAIRE MANGA DRIVER EXPLAINS HOW HE QUIT HIS JOB AFTER EARNING 48 MILLION AND AN APARTMENT...

MWANASHERIA afafanua kwanini MKE wa Bilionea Msuya AMEACHIWA huru kwenye kesi ya MAUAJI *Exclusive

WAKILI AFICHUA DHAMANA YA MTOTO WA BILIONEA MSUYA- "Tulitakiwa Kutoa Milioni 200"

KESI YA MAUAJI: MUUZA CHIPSI, MWANAFUNZI ATOA USHAHIDI NA KUWEKA WAZI "ALINIPA FUNGUO"

BREAKING: KESI YA MBUNGE GEKUL YAONDOLEWA MAHAKAMANI, WAKILI MADELEKA ACHARUKA "TUTAKATA RUFAA"

MAMA WA BILIONEA MSUYA 'AKATAA' KUFUTA KESI MAHAKAMANI, MTOTO ALIA..

