MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA LUSHOTO AMPONGEZA DC KWA KUANDAA KIKAO CHA WADAU WA KILIMO W,LUSHOTO

Hayo aliyazungumza mwenyekiti wa Ccm wilaya ya lushoto mhe,Ally kasim dafa wakati akitoa salam zake katika kikao kazi cha alichokiandaa mkuu wa wilaya ya lushoto mhe,JAPHARI KUBECHA MGHAMBA. Hata hivo katika kikao hicho mkuu wa wilaya alikerwa sana na wakala wa usambazaji wa mbolea na pembejeo za kilimo kwa kucheleweshea wakulima pembejeo hizo na mbolea. Nae Yasin Bila ambae ni mhe,diwani wa kata ya lunguza amempongea mkuu wa wilaya kwa kuandaa kikao kazi hicho na kutoa maelekezo juu ya upatikanaji wa mbolea kwa wakati,makusema kua kama mzabuni huyo wa pembejeo hizo ameshindwa kazi basi wapewe vyama nya ushirika tenda hio. SIKILIZA FULL VIDEO...

DC,LUSHOTO AFUNGUA VIKAO VIWILI KWA PAMOJA.KIKAO CHA LISHE NA KIKAO CHA WADAU WA UTALII W LUSHOTO:
▶︎

DC KUBECHA UTATUPELEKA MBALI,NA MIMI NI IMAMU WA MSIKITI:

"SINA KINYONGO NAOMBA TUWAUNGE MKONO CCM" JANUARY MAKAMBA AFUNGUKA MBELE YA WANANCHI WA BUMBULI

How Kenya Can Lower Fuel Prices | Ndindi Nyoro

SIKILIZA YALIOJIRI KATIKA KIKAO CHA WADAU WA SEKTA YA KILIMO WILAYA YA LUSHOTO:

Umunsi Inkotanyi zihashya EX-FAR kuri burende ya Kagugu - Ubuhamya bwa Maj Gen (Rtd) Sam Kaka

DC:MKUU WA WILAYA JAPHARI KUBECHA ATANGA BAADHI YA VIVUTIO VYA UTALII VILIVYOPO LUSHOTO:

Rais Samia wa Tanzania anatafuta nini Urusi? Katika Dira ya Dunia TV

Current Senate Standing Order Precludes Sen. Akpabio from Being Senate President - Oshiomhole

MKUU WA WILAYA YA LUSHOTO JAPHARI KUBECHA AJITAMBULISHA  RASMI KWA WAH,MADIWANI WA LUSHOTO.

Mgomo wa sekta ya uchukuzi | Maoni ya Wakenya kabla na baada ya mgomo kusitishwa

CWT WILAYA YA LUSHOTO WATOA LA MOYONI:
▶︎

CWT WILAYA YA LUSHOTO WATOA LA MOYONI:

Jaji Warioba Aongea: Ripoti ya Chande, Maridhiano, Katiba, Aonya Kuzuia Mawazo: Watanzania Wanaogopa

ANITA AMONG ISI YAMWIKARAGIYEHO - KNC NA MUTABARUKA

DC LUSHOTO ANASEMA, LUSHOTO NI MJI MZURI WA KUPUMZIKA NA NIENEO TULIVU,SIKILIZA:

TWAGANIRIYE: Amezi 3 baba muri CND; Abanyapolitike 28 ba FPR barinzwe n'Inkotanyi 600

MBUNGE WA KATAVI AVUNA PESA BUNGENI BAADA YA KUGONGA NONDO ZITO JUU YA UVUNJIFU WA MAADILI.

MKUU WA WILAYA JAPHARI KUBECHA AJITAMBULISHA RASMI KWA MADIWANI LUSHOTO:

MSIKILIZE MMILIKI WA HOTELI YA MULLA ALIVO MSHUKURU DC KUBECHA:

HALMASHAURI WAPOKEA MAELEKEZO YA DC JUU YA UKUSANYAJI MAPATO KATIKA HALMASHAURI YA W,LUDHOTO: