Elimu ya Fedha: Mapato | Ubongo Kids Wote Wapya

Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 14, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Subscribe kupata video za kujifurahisha za bure kila wiki kutoka Ubongo Kids! Edutainment iliyotengenezwa barani Afrika, kwa Afrika. Ubongo Kids iko kwenye TV! Tazama hapa: https://www.ubongo.org/shows/showtimes/ https://www.ubongokids.com   / ubongokids     / ubongotz   Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning! https://www.ubongo.org Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains #UbongoKids #SwahiliCartoons #Elimu

Kujumlisha na Kutoa: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto
▶︎

Adam na Eva
▶︎

Adam na Eva

Vehicle Rescue Challenge! 🚜 Can They Find Them All?

Webisode 54: Ridhaa Yangu! | Ubongo Kids + European Union | Katuni za Elimu

WEBISODE 73: Mimi ni yule yule | Ubongo Kids Utu: Ujasiri | Katuni za Kiswahili

Midoli! | Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto

Webisode 53: Kupanga Bajeti | Ubongo Kids | Katuni za Kiswahili

Ubongo Kids Webisode 32 | Jeshi la Mbu | Malaria

Webisode 58: Nataka Kuwa Kama Wewe! | Episode Nzima ya Ubongo Kids | Hadithi za Kiswahili

WEBISODE 68: Usanisinuru ni nini? | Ubongo Kids Utu: Kujithamini na Kujiamini | Katuni za Kiswahili

Kujumlisha kwa Kubeba: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

WEBISODE: Tutatue Tatizo na Ubongo Kids | Msimu mpya wa Ubongo Kids | Katuni za Kiswahili

Usiwe na Hasira! | Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto

Umuhimu wa Kujidhibiti  | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Ubongo Kids Webisode 44 - Fikra Endelevu | Katuni za Kiswahili

Herufi za Wanyama | Jifunze Herufi na Akili and Me | Katuni za watoto

WEBISODE 67: Hakuna atakaejua... | Ubongo Kids Utu: Uadilifu | Katuni za Elimu

Kuzidisha na kugawanya: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Ubongo Kids Webisode 26 - Ili Nikue... - African Cartoon

WEBISODE 74: Nguvu ya uvutano (unaweza kujifunza popote) | Utu: Shukrani | Katuni za Kiswahili