Familia Kisii yashangazwa na kurejea kwa binti waliyemzika mwaka jana

Hali ya wasiasi imeghubika Kijiji cha Kiabonyoru, Borabu Nyamira kaskazini hii ni baada ya msichana mwenye umri wa miaka 15 aliyekisiwa kuzikwa zaidi ya mwaka moja uliopita kurejea nyumbani. Ajabu ni kwamba polisi maeneo hayo waliidhinisha kwamba chembechembe za DNA zilionyesha kuwa mwenye alizikwa ndiye maiti halisi.