KABLA YA NDOA Episode 1.#dunia # mapenzi #religion # baba joan#pressure #stevemweusicomedy #clam

Ni baada ya kukataliwa na mwanamke kwenda kuolewa na mwanaume mwingine, ndipo alipoamua kumteka mwanamke na kumficha kusudi aje kumuachia baada ya ramadhan kupita. ni tamthilia yenye matukio mengi ya kuumiza na kufurahisha kabla ya mwezi kuingia na baada ya mwezi wa ramadhani kupita.