Wakimbizi kutoka DRC wateseka nchini Burundi, katika Dira ya Dunia TV
Mpango wa kuwasafirisha watu waliokimbia vita nchini Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo hadi kambi za wakimbizi nchini Burundi unaendelea. Serikali ya Burundi tayari imewasafirisha maelfu ya waCongomani waliokuwa wakiishi katika kambi ya muda ya wakimbizi katika uwanja wa Rugombo hadi eneo la Rutana. Hata hivyo mpango huu umekumbwa na utata huku baadhji ya wakimbizi wakipinga na kutaka kurejeshwa nyumbani au kupewa hifadhi katika eneo ambalo ni karibu na nyumbani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

▶︎
Matangazo ya Dira ya Dunia TV

▶︎
A-Z SEMAJI AHMED ALLY AZUNGUMZA KUHUSU BUS JIPYA/MCHEZO UJAO DHIDI YA PAMBA/HALI YA KIKOSI/JEZI

▶︎
FULL VICHEKESHO MTANGA & BAMBO NA KINGWENDU utacheka ufe🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂

▶︎
HECHE AMCHANA SAIDI ISSA MOHAMED AMUITA MSALITI SIO MWENZETU | ANATUMIKA ALIFUNGUA KESI YA UONGO.

▶︎
Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 11/06/2026

▶︎
Scars from Russia: Former KDF pilot narrates his escape from Russia war, going for days without food

▶︎
GUMZO CHAKULA CHA MAMA NTILIE KARIAKOO KUGOMBANIWA,TETESI ZA NDUMBA, MAJI YA MAITI, MAFANIKIO AELEZA

▶︎
Lion Attack: The Savageest Fights in the Animal Kingdom | WILDLIFE DOCUMENTARY

▶︎
What I discovered about BURUNDI 🇧🇮 (and nobody talks about it)

▶︎
የምሽት 2 ሰዓት አማርኛ ዜና … ሰኔ 02/2018 ዓ.ም

▶︎
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 11.06.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast

▶︎
Sam Kiley reports from streets of Belfast as riots see refugees in UK under attack

▶︎
'Maumivu ya kunyang'anywa mtoto wangu yalinisukuma kuwa muongoza utalii'

▶︎
Trump asema Iran imechelewa kufikia makubaliano, na italipia gharama. Katika Dira ya Dunia TV

▶︎
BALAA LA TUNDU LISSU IRINGA, ASIMAMISHA SHUGHULI ZOTE, AWATWANGA CCM BILA HURUMA, ATAKA MABADILIKO

▶︎
AMKA NA BBC - JUNI 11' 2026

▶︎
President Trump calls off new strikes on Iran

▶︎
Trump tunachukua mafuta Iran bila wao kujua

▶︎
Israel na Lebanon zatarajiwa kushiriki katika mazungumzo zaidi huko Washington. Dira ya Dunia

▶︎
