Ndani Yamajina By Voice of Revival Choir(Official video)

Katika majina yote ya mbinguni na duniani, kuna jina moja tulilopewa sisi watoto wa Mungu- Kristo. Jina hili ni kuu na lenye nguvu; maovu yote hutetemeka na kuyeyuka yanaposikia jina hili. Wimbo huu ni ukumbusho wa ushindi na mamlaka tuliyo nayo katika jina la Yesu...