Rehema Simfukwe - Maji Jangwani (Live Music Video)
"Tazama, nitatenda neno jipya; sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani. Wanyama wa kondeni wataniheshimu, mbweha pia na mbuni; kwa sababu nimewapa maji jangwani, na mito nyikani, ili kuwanywesha watu wangu, wateule wangu" Isaya 43:19-20 Huyu Mungu ambaye tunamwabudu anaweza kutoa chochote mahali ambapo hakuna matumaini ya kutoa chochote kilicho chema! Eneo lililokatiwa tamaa (Jangwani) Mungu anaweza kulipa neema/kibali chake na chemchemi za maji yaliyo hai zikatoka ndani yake, Asali tamu inaweza kutoka kwenye MZOGA, Walio mavumbini wanaweza kupandishwa JUU na kuketishwa na WAKUU. Kupitia wimbo huu MUNGU wa YASIYOWEZEKANA anakwenda kubadilisha MAJAGWA NA KUZALISHA CHEMCHEM ZA MAJI YALIYO HAI kwenye maisha ya watu. MAJANGWA YATAGEUKA KUWA MISITU YENYE UKIJANI MWINGI. "Augeuza mwamba kuwa ziwa la maji, Jiwe gumu kuwa chemchemi." Zaburi 114:8 Maji Jangwani Live Recorded at FAVOUR- MAJI JANGWANI Project - Kenton Grounds, D'Salaam Tanzania. Special Appreciation to this amazing people; Music Director - Samuel Yonah @samyonah.tz Video Director - Amigo Johnson -@amigojohnson Audio Captured by HaddyPro - Audio Mastered/Mixed by Samuel Yonah - @samyonstudios Lyric interpreter @_venisia Zephaniah The BAND (Vocals&Musicians) - Team Halisi MD/Arranger|MainKeyz: @samyonah.tz Drums: @kiondopro_28 Bass: @topbeyz Guitar 1: @officialbenjamin_kaz Guitar 2: @josh_fundy Acoustic🎸: @bezalelmwandete Aux 1 (Synth Lead,Marimba,Organ): @macshield Aux 2 (Strings//synth pad): @fred_yonah - Alfred Yonah Aux 3 (flute /Bells): @nasamwa_keys BACKVOCALS : (Soprano) @jenniferulomy @annamasero_ @markybeyz @jocylinekato (Alto) @lizblecng @its_marylin3 @nejamaly @sarahjohnmenas (Tenor) @minister_richardjr @joshualugendotz @haggaimic @georgesangiza LIVE SOUND: Live Audio Engineer FOH: @gadi_sl 🔥 MonitorBvs/MonitorLVs&Music: @b_ngowi Lights Engineer @fado Make-up @shatafrika Rehema's outfit @dinnah_outfit Ladies: @jujustitsches FOH Sound & Backline equipments & Stage @haddypro_co_ltd Decoration @simplyspecialevents LED Screen @hurumacharles Artworks @sgraphicstz Video clips/Teasers @director_blesser Administer by @hurudigital

Rehema Simfukwe - Wakati (Live Music Video)

Essence of Worship ft Clara Minja & Justin Asifiwe - Si ni Wewe Yesu(Official Music video)

MUNGU USINIPITE 😭🔥 | Deep Emotional Swahili Worship Mix 2026| Prof. Ezekiel Orero

Maombi Yangu / Kristo wa Neema / Ombi Langu // Deep Swahili Worship Songs

Roland Robert - Nakusubiri Ft. Rehema Simfukwe

The Kingdom Manifest - Live From DAR ES SALAAM Day 1 - Dr Ipyana // Grand Ibada Global

Ulisema Naposhindwa Nikuite | Powerful Swahili Worship Prayer Mix 2026

Rehema Simfukwe - Bubujiko (Official Music Video )

Rehema Simfukwe - Chanzo ( Official Video Lyric)

Neema Gospel Choir & Jastin Asifiwe - Yesu unipendaye (Live)// WORSHIP IN SPIRIT

Rehema Simfukwe Ft Jonathan Kartagata - Nina Ushuhuda (Live Music Video)

Rehema Simfukwe - Chanzo (Official Music Video) SKIZA CODE - *812*786#

1 HOUR DEEP SWAHILI WORSHIP MIX | Uongezeke Yesu, Umenipendelea, Ombi Langu, Ni Tabibu, Raha Yangu.

Tenzi za Rohoni (Swahili Hymns) | Morning worship songs Swahili | Vol.3

Paul Clement - Kitabu ( ajabu ) | OFFICIAL LIVE VIDEO

Wakati

Neema Gospel Choir - Sijawahi Shinda Ft. Paul Clement (Live Music Video)

Zoravo Ft Rehema Simfukwe - Anarejesha ( Official live Video ) sms : Skiza 6983364

1 Hours Powerful Swahili Worship & Prayer Songs 🙏 Cry Out to God | Healing, Help & Deliverance Songs

