🔴#LIVE: SIKU YA 01 || MAKAMBI YA KILUVYA || IBADA KUU - MCHANA || 28.06.2026

Karibu katika mfululizo wa ibada katika Sherehe za Makambi kutoka Kanisa la Waadventista wa Sabato Kiluvya. Matangazo haya yanaruka mubashara kutoka katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Kiluvya lililopo mtaa wa Kibamba, jijini Dar es Salaam. #Makambi2026 #SDAChurch #IbadaMubashara #AdventistMedia #ibadasabato #NitakwendanikimsubiriYesu #Makambi2026 #ATAPE