Jinsi ya kurecord Video yenye ubora kwa kutumia Smartphone

Katika video hii nimeelezea mambo ya msingi ya kuzingatia unapo taka kurecord Video yenye ubora kwa kutumia Smartphone ZINGATIA YAFUATAYO 1. Mwanga 2. Sauti 3. Editing 4. Mpangilio wa picha