LIVESTREAM | Umuhimu wakuweka akiba | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto
Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 14, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Subscribe kupata video za kujifurahisha za bure kila wiki kutoka Ubongo Kids! Edutainment iliyotengenezwa barani Afrika, kwa Afrika. Ubongo Kids iko kwenye TV! Tazama hapa: https://www.ubongo.org/shows/showtimes/ https://www.ubongokids.com / ubongokids / ubongotz Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning! https://www.ubongo.org Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains #UbongoKids #SwahiliCartoons #Elimu

Kujumlisha na Kutoa: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Nastya Learns to Take Care of Her Health - Helpful Stories for Kids

ABC | ABCD | A to Z Alphabet Learning for Kids | ABC Phonics Song | for Children #nureryrhames

Ubongo Kids Webisode 33 | Mechi Mwilini - Mifumo ya Mwili

Adam na Eva

The importance of having self control | Ubongo Kids Compilation | Educational Cartoons Nigeria

¡MI HERMANO ES MÁS TRAVIESO Y MÁS GENIAL QUE YO! 😎🐶 | La Oveja Shaun (Dibujos Animados Para Niños)

Swahili Alphabet Songs | Learn Swahili with Akili | Cartoons for Preschoolers

LIVESTREAM | Safariya Namba Kubwa | Ubongo Kids | Kipindi Kamili

Buffalo yenye akili | The Intelligent Buffalo Story in Swahili | Swahili Fairy Tales

Re-upload: Twende Kuogelea | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili

Kujumlisha kwa Kubeba: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Kuzidisha na kugawanya: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Mti Mwenye Kiburi | Proud Tree in Swahili | Swahili Fairy Tales

Ubongo Kids Webisode 44 - Fikra Endelevu | Katuni za Kiswahili

Usiwe na Hasira! | Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto

WEBISODE: Leo kwa ajili ya kesho | Msimu mpya wa Ubongo Kids | Katuni za Kiswahili

Akili anapenda wanyama! | Jifunze na Akili and Me | Katuni za Elimu

WEBISODE 67: Hakuna atakaejua... | Ubongo Kids Utu: Uadilifu | Katuni za Elimu

