DAILY BREAD | KUTAMKIA KILICHO SIMAMA MBELE YAKO KIONDOKE | MWL. DANIEL MATHEW

🌅Good morning!👋🏽 Karibu katika kipindi cha DAILY BREAD. Hapa utapata mafundisho ya neno la Mungu kila siku ASUBUHI yatakayokusaidia katika siku yako na maisha yako kwa ujumla kutoka kwa Mwl. Daniel Mathew.