Alivyojitetea jamaa aliedharau agizo la Rais Magufuli kuhusu korosho Mtwara
AyoTV imempata mtuhumiwa Huhai Mohamed Rashid aliyeingiza korosho kimagendo kutoka nchini Msumbiji ambaye amekamatwa na DC wa Newala Aziza Mangosongo ambaye camera ya AyoTV ilimkuta katika ukaguzi wa korosho zinazoingia kimagendo kutoka nchi jirani kupitia mpakani mto Ruvuma ikumbukwe kuwa imepita siku moja tu tangu Rais Magufuli kutangaza bei ya korosho kufikia 3300 kwa kilo moja na korosho hizo kununuliwa na serikali na kubebwa kwa gali za jeshi huku akipiga marufuku uingizwaji wa korosho kimagendo kutoka nje ya TZ

▶︎
VIDEO ILIYO-TREND WATANGANYIKA KUFUKUZWA MAHOTELINI ZNZ, KIONGOZI MUHUSIKA AKEMEA UBAGUZI

▶︎
RAIS DKT. MAGUFULI ATOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU BEI YA KOROSHO NCHINI 2018

▶︎
In the Name of the President: Kitabu cha Mateso ya Magufuli | GUMZO MAALUM na Erick Kabendera

▶︎
BREAKING! SAMIA KUMNG'OA NCHIMBI PUNDE | HOJA YA KUTOKUWA NA IMANI NA MAKAMU KUWASILISHWA BUNGENI

▶︎
RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YATAKAYOTUMIKA KUSAFIRISHA KOROSHO

▶︎
ADAIWA KUMUUA KAKA YAKE KWA KUMCHOMA KISU KISA KUKOSA UMEME NYUMBANI

▶︎
HECHE AMCHANA SAIDI ISSA MOHAMED AMUITA MSALITI SIO MWENZETU | ANATUMIKA ALIFUNGUA KESI YA UONGO.

▶︎
MAGUFULI AFUNGA MJADALA WA KOROSHO, ATOA MAAGIZO YA BEI

▶︎
BIG BOSS I ep 37 I

▶︎
Historia ya Hayati Luteni Jenerali Silas Mayunga Vita Vya Kagera.

▶︎
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU

▶︎
Epstein fallout panic: new details from a tense White House meeting

▶︎
MAGUFULI - "NYIE ni WAPUMBAVU, Mmefanya UPUMBAVU, MTUBU Kwa MUNGU"

▶︎
BREAKING: MAGUFULI AMTUMBUA LUGOLA "UNANITESA, ONDOKA HAPA SINA URAFIKI KAZINI"

▶︎
AMPLIFAYA: MAJIRANI AMBAO HAWASHIRIKI SHUGHULI ZA KIJAMII, WAFANYWE NINI?

▶︎
How China Built an Impossible Bridge Above the Clouds

▶︎
Scars from Russia: Former KDF pilot narrates his escape from Russia war, going for days without food

▶︎
GUMZO CHAKULA CHA MAMA NTILIE KARIAKOO KUGOMBANIWA,TETESI ZA NDUMBA, MAJI YA MAITI, MAFANIKIO AELEZA

▶︎
Kenya’s $3.8 Billion Chinese-Built Railway Shows Why Belt and Road Is Being Reworked

▶︎
