NITAKUSHUKURU KWA MOYO WANGU WOTE By T.D.Nsato

Karibu kutazama wimbo huu wenye lengo la kumshukuru Mungu Kwa mema mengi anayotujalia kila siku pasipo mastahili na pia kwa jubilei ya dhahabu hapa kwetu Ccp na Mungu atubariki sote kupitia wimbo huu.