BILL GATES ANASOMA VITABU 52 KWA MWAKA
Please watch: "FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI " • FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI -~- Kila ifikapo April 23 dunia huwa inaazimisha siku ya kitabu duniani (World Book Day) Na katika siku hii maalum kwa mwaka huu wa 2019 nilipata nafasi ya kuhojiwa na kituo cha Television cha Clouds TV kupitia kipindi cha Alasiri na mtangazaji mzuri Jaqueline Kombe. Fikiria tajiri kama Bill Gates anasoma vitabu zaidi ya 50 kwa mwaka, yaani kitabu kimoja kila wiki. Je wewe unasoma vitabu vingapi kwa mwaka? Ni muda wa kujitathmini, tazama mafanikio yake katika maisha nafikiri ipo siri ya vitabu na watu wenye mafanikio, basi tuanze kusoma leo. Fuatilia tafadhali na usiache kuniachia comment, na kuniambia ni kitu gani kizuri unachofahamu kuhusu vitabu kama faida. Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine. . NIFUATE MITANDAONI INSTAGRAM: / ezdenjumanne TWITTER: / ezdenjumanne FACEBOOK: / ezdenjumanne LINKEDIN: / ezdenjumanne . For Business please send me an email [email protected] NUNUA KITABU HAPA : 0759191076 #WorldBookDay #Books SuccessPath

Storchennest Live Webcam in Bad Salzungen, Thüringen

ELIMU YA FEDHA

MAFUNZO YA SIRI YA MAFANIKIO: MATAJIRI WANAFUNDISHA WATOTO WAO (RICH DAD, POOR DAD)

THE STORY BOOK: MAAJAMBU YA SEMION MUGLEVICH BINADAMU PEKEE ALIYE JUU YA SHERIA

FULL STORY: THE MARRIED LIFE OF BILL GATES AND HIS WIFE, THE REASONS FOR THE DIVORCE ARE THESE....

FAIDA ZA VITABU KATIKA MAISHA YAKO

Uandishi wa Vitabu Kwanini Uandike Kitabu chako kabla hujafa Urahisi wa uandishi ni upi

Ukiikosa Hii Leo, Usijilaumu Kesho

The Story Book: Mji wa Tanzania Uliokuwa Mji Mzuri Zaidi Duniani (Historia ya KILWA)

MAAJABU YA UBONGO KWA MAFANIKIO YAKO

ROBIN SHARMA - THE GREATNESS GUIDE 2 - CHAPTER 1 - TUSOME PAMOJA

MAMBO 20 USIYOYAJUA KUMUHUSU BILL GATES ''VOLDER''

BILIONEA MULOKOZI AKUBALI KUSIMULIA KILICHOMTAJIRISHA "NILIANZA NA MTAJI WA MILIONI 20" - EPISODE 3

Broke Women ‘Stay’. Beauty Gets Their Attention - Trophy Kiprono

What people with money never tell you || Gor Semelang'o

BREAKING! SAMIA KUMNG'OA NCHIMBI PUNDE | HOJA YA KUTOKUWA NA IMANI NA MAKAMU KUWASILISHWA BUNGENI

SIJUI KIINGEREZA. JE NISISOME VITABU?

FAIDA 10 ZA KUSOMA VITABU

Warren Buffett: What To Do Between 6 PM and Midnight (2026 Masterclass)

