Mazungumzo ya Kiswahili na Naira Abdulazez

Naira ni mwanafunzi wa Kiswahili na Kihispania katika chuo cha Alsun nchini Misri. Yeye anapenda kusoma vitabu, kumsaidia mama yake na kutembea na marafiki. Angependa kutembelea Afrika Mashariki siku moja; nchini Tanzania hasa.