WELCOME TO HYMNODIC SABBATH

Tunayo furaha kubwa kwa wewe kujiunga nasi katika Kanisa Mama la Shauri Moyo kwa ajili ya kuinuliwa kiroho, uwe uko nasi ana kwa ana au unafuatilia mtandaoni. Jiandae kubarikiwa na ujumbe wa kutia moyo ,muziki mzuri,na ushirika wa waumini. Moyo wako na ujazwena amani na uwepo wa Mungu leo. Asante kwa kujiunga nasi !Uwe na Sabato njema yenye baraka.