Fadhili Bavyombo na Hosini Band Wanaupiga Mwingi. Show kali Ya Bango. #Nzeleflavour #Bangonzele

Bavyombo apiga nyimbo zake kama Thua Rako, Dennis na Gladys, Nakuchefende naye, Kakumala Ndege na hit zingine live ndani ya Klub 28 Bondora. #bango #ZaNdani #kenya #mombasa #viral #fyp #mijikendatiktok