NJIA 4 ZA KUJENGA UTAJIRI AMBAZO 90% YA WATU HAWAZIJUI KABISA | CFE. Victor Mwambene.

1️⃣ The Law of Uncommon Path – Kanuni ya Njia Isiyo ya Kawaida Watu wengi hufuata njia ile ile ambayo kila mtu anafuata. Lakini mara nyingi utajiri hupatikana kwa watu wanaochagua njia tofauti na watu wengi. To build wealth, sometimes you must take a path that most people are not willing to take. 2️⃣ The Law of Personal Identity – Kanuni ya Utambulisho wa Nafsi Maisha yako ya kifedha mara nyingi huendana na jinsi unavyojiona wewe mwenyewe. Kama unajiona mtu wa kawaida, utaishi maisha ya kawaida. Lakini kama unajiona kama mtu mwenye uwezo mkubwa, utaanza kufanya maamuzi makubwa zaidi. Your financial life will always reflect the identity you believe about yourself. 3️⃣ The Law of Spiritual Capital – Kanuni ya Mtaji wa Kiroho Mbali na mtaji wa fedha, kuna kitu kinachoitwa spiritual capital. Huu ni mtaji unaotokana na maadili, uadilifu, imani na tabia nzuri ambazo hujenga uaminifu na fursa katika maisha. Sometimes the greatest opportunities in life come from character, integrity and faith. 4️⃣ The Law of Problem Solving – Kanuni ya Kutatua Matatizo Utajiri mkubwa duniani unatokana na uwezo wa kutatua matatizo ya watu. Kadiri tatizo unaloweza kutatua linavyokuwa kubwa, ndivyo thamani yako na kipato chako vinavyoongezeka. Wealth is created by solving problems that many people face. 🎥 Tazama video hii mpaka mwisho ujifunze jinsi kanuni hizi nne zinavyoweza kubadilisha maisha yako ya kifedha.

NJIA 8 RAHISI ZA KUDHIBITI PESA ZISIPOTEE | CFE. Victor Mwambene.
▶︎

SABABU 10 ZA KWANINI WATU WENGI NI MASKINI NA WANAISHI MAISHA MAGUMU | Victor Mwambene.

WANAWAKE WA NENO | KWANINI BAADHI YA NDOA ZA SASA ZINAVUNJIKA | EPSODE 3

NILIMUOMBA KAKA ANILIPIE KODI YA MIEZI MITATU NIBAKI DAR | NIMETOKA KIJIJINI SANA | MAJID NSEKELA

2024 Hisa za NMB ziliuzwa kwa TZS 4,500, leo hii zinauzwa 14,000! Utajiri wa Hisa Utakushangaza

KAMA UNAPITIA MAGUMU HII VIDEO INAKUHUSU || Best Motivation Speech

KWANINI WASOMI WENGI NI MASIKINI NA HAWAFANIKIWI | Victor Mwambene.

KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA

Maamuzi ya Biashara Bila Data = Kamari | Datapodcast | Episode 2 | Eng. Kabenda

HISA VS HATIFUNGANI UPI NI UWEKEZAJI BORA ZAIDI UTAKAO KUTAJIRISHA? | CFE. Victor Mwambene.

From Zero Mpaka Millionaire Before 30 | Hizi Ndio Mbinu Zote Nilizotumia

Mikakati ya Kuwa Tajiri Kimya Kimya | Elimu ya Fedha na Uwekezaji

FAIDA 10 ZA KUWEKEZA KWENYE HISA ZITAKAZOBADILISHA MAISHA YAKO (Usikose #10) | CFE. Victor Mwambene.

A -Z KUHUSU UTT-Amis | WATU HUPATA VIPI FAIDA KUPITIA VIPANDE?  Elimika Na Mwl. Emilian Busara C.P.A

Unauza Sana Lakini Huoni Faida? Hii Ndio Sababu! | Datapodcast | Episode 3 | Eng. Kabenda

TABIA 4 ZA KUKUSAIDIA KUONGEZA PESA YAKO - Anthony Luvanda

UKITEGEMEA KIPATO KIMOJA HUTAKUWA TAJIRI - JIFUNZE AINA 8 ZA VIPATO MUHIMU | CFE. Victor Mwambene.

ENG: KABENDA :ILI KUPATA FEDHA NYINGI FANYA HIVI/KINACHOWAFANYA WATU WENGI WAKOSE FEDHA NYINGI.

BILIONEA MULOKOZI AKUBALI KUSIMULIA KILICHOMTAJIRISHA "NILIANZA NA MTAJI WA MILIONI 20" - EPISODE 3

Jinsi ya kuwekeza kwenye bonds kupata kipato maisha yako yote