Jinsi ya kupika mchuzi mtamu wa Kuku || chicken curry souse || tizama nguvu ya kiazi kwenye mchuzi

Mahitaj Kuku Kitunguu Nyanya moja Hoho moja Bamia tano Nyanya chungu tano Kotimiri Chunvi kias Mafuta vijiko 3 Tangawizi Swaumu Maji kikombe kimoja Tui la nazi #chickencurry#stew#chickensoup