SUGU: Mimi siyo DIAMOND Wala ROMa, BASATA ntawaburuza Mahakamani

" Mimi siyo DIAMOND Wala ROMa, BASATA ntawaburuza Mahakamani " ni maneno ya mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) Joseph Mbilinyi 'SUGU', ameyatoa bungeni jijini Dodoma baada ya Baraza la sanaa kumfungia wimbo wake siku ya jana