Dr. Chris Mauki: Sababu zinazofanya mwanamke kupoteza hamu ya tendo la ndoa (HSDD)

Je mke wako anatatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa? Je umewahi kujiuliza ni nini chanzo cha tatizo hili? Nifuatilie hapa nikufundishe chanzo na utatuzi wake. #DrChrisMauki#Ndoa#Mahusiano