NENO LA SIKU | Luka 11 | Maombi Ya Kufungua Riziki Yako | Isaac Javan
Leo tunasoma kitabu cha Luka sura ya kumi na moja, na tunaenda kufanya maombi ya kufungua riziki yako. Katika ulimwengu wa roho, riziki ya mtu kwenye maisha inaweza ikafungwa na pia inaweza ikafunguliwa. Riziki inapofungwa ni pale ambapo mambo yako yanapoanza kukwama kwa namna ambayo unashindwa kupata mahitaji ya maisha yako. Na shetani amekuwa akifunga riziki za watu na kuwafanya wapite mahali pagumu kiuchumi. Lakini pamoja na yote, habari njema ni kwamba tunao ushindi ndani ya YESU. Aliposema tuombe Mungu atupe riziki zetu kila siku, alikuwa anatufungulia mlango wa ushindi katika ulimwengu wa roho. Alikuwa anatungulia njia ya ukombozi katika ulimwengu wa roho. Na katika maombi ya leo, tunaenda kufungua riziki zetu zilizofungwa na shetani. Nami nakuombea, utakapokuwa unaomba upokee msaada wa Mungu, na upate ushindi wako kwa utukufu wa jina la YESU. Nakuombea maisha yako yabadilike kuanzia leo, na kama ulikuwa unapita mahali pagumu kiuchumi, basi YESU akupe msimu mpya na mwanzo mpya wenye baraka, ushindi, na utoshelevu ndani yake. Mungu akubariki sana na akupe ushindi mkuu. Damu ya YESU ikufunike na kukulinda. Amen! Isaac Javan +255 745 76 45 72

NENO LA SIKU | Luka 12 | Maombi Ya Toba Kwa Dhambi Za Siri | Isaac Javan

KUOTA UNAOMBA USINGIZINI. WEWE NI M2 MWENYE UWEZO MKUBWA SANA WA KUZUIA MATUKIO. PART 2 Subscribe

KANISA LISILO PINGA MABAYA HILO NIKANISA SA MAFUNGU YA KUMI

NENO LA SIKU | Luka 15 | Maombi Ya Toba Na Urejesho | Isaac Javan

Best Hillsong Worship Songs 2026✝️ Morning Worship Playlist | Top Christian Praise & Worship Music

JIFUNZE KUTOA SADAKA KWA USAHIHI

NENO LA SIKU | Luka 13 | Maombi Ya Kurudishiwa Nafasi Yako | Isaac Javan

MAOMBI YA ASUBUHI. KUVUNJA KILA KIFUNGO By Pst Victor Tullo.

🔴እግዚአብሔር ከአንተ የሚፈልገው እምነት ይህ ነው!/The Truth About Faith//ProphetTilahun//#gospel#jesus#halwot#kingdom

ELIZABETH MOKORO AMUA KUSEMA UKWELI NOMINAL SDA NA KUWAAMBIA WATOKE GC ISHAPOTOKA

USINIPITE BWANA - DEEP RELAX SWAHILI WORSHIP SONGS

NENO LA SIKU | Luka 18 | Maombi Ya Kudai Haki Yako | Isaac Javan

Morning Worship Songs 2026 ✝️ Best Praise & Worship Music | Daily Peace Playlist

UKIOTA namna HII USIPUUZE || MCH DAVID MMBAGA

NENO LA SIKU | Mathayo 20 | Maombi Ya Kufunguliwa Kwenye Kazi | Isaac Javan

MAOMBI YA KUMFUNGUA MUME WAKO - MWL. ISAAC JAVAN

TABIA ZINAZO CHOCHEA ROHOYA ZINAA

NENO LA SIKU | Luka 7 | Maombi Ya Kuvunja Vifungo Vya Magonjwa | Isaac Javan

Tu as FORCÉMENT un esprit prophétique en toi si tu vis ces signes | Prophète DJOGRACE MWENZE

