KWANINI UNAPOOMBA, VITA VINAONGEZEKA? - Innocent Morris
KWANINI UNAPOOMBA, VITA VINAONGEZEKA? - Innocent Morris Je, umewahi kuomba kwa bidii na badala ya mambo kutulia, hali ikawa ngumu zaidi? Katika somo hili, Mtumishi Innocent Morris anazungumzia siri ya vita vya kiroho vinavyozidi unapomkaribia Mungu kupitia maombi. Katika somo hili utajifunza: Sababu zinazofanya maombi yako kuvuta mashambulizi. Jinsi ya kuendelea kusimama imara katika imani hata katikati ya vita. Ushindi wa kiroho kupitia nguvu ya maombi na neno la Mungu. Hili ni somo litakalokutia moyo na kukupa mwangaza wa kuendelea mbele kwa ushindi. Bonyeza link kujifunza somo hili sasa. Usisahau kushare na watu wengine. Chukua pen na karatasi ujifunze somo hili sasa. ⏯️ Usisahau kusubscribe kwa mafunzo zaidi ya kiroho. Na pia like na kushare na watu wengine. Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworship Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: / holyspiritconnect Facebook Link: / holyspiritconnect YouTube Link: / holyspiritconnect Tiktok Link: / hscworship #holyspiritconnect #innocentmorris #RohoMtakatifu #MafunzoYaKiRoho #InnocentMorris

SUNDAY NIGHT SERVICE 19/07/2026 - Innocent Morris

JINSI YA KUMFURAHISHA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris

KWA NINI NIKIOMBA NASHAMBULIWA?

NINI CHA KUFANYA UNAPOKUWA KWENYE MAJARIBU - Innocent Morris

JIFUNZE NAMNA NZURI YA KUOMBA

NGUVU YA MAOMBI YA MACHOZI by Innocent Morris

SIRI ZILIZOPO WAKATI WA USIKU - NGUVU ZA GIZA

JINSI YA KUTAKASA LANGO LAKO LA NDOTO || PASTOR GEORGE MUKABWA | 03/10 /2024

FAIDA TANO ZA KUFUNGA NA KUOMBA - Innocent Morris

JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris

MWL, CHRISTOPHER MWAKASEGE: MAOMBI YA KUONDOA VIKWAZO KWENYE MALANGO YALIYO BEBA FURSA ZAKO.

JINSI YA KUONGEA NA MUNGU KAMA RAFIKI - Innocent Morris

EPUKA MAKOSA YA UTOAJI SADAKA | Isaac Javan

Initiated Into Marine Kingdom

USIKU WA MAOMBI 05/06/2026 by Innocent Morris

AMINI KUWA UTASHINDA HATA KATIKATI YA MAGUMU UNAYOPITIA LEO.

SIRI ZA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO - Pastor Sunbella Kyando

Mh!😳 "MTU AKIZINI MARA MOJA TU HII KITU INAMPATA 🙌🏾 NA KUFUTIKA SIO RAHISI" | +SHUHUDA ZA KUTISHA🔥💔

OMBI LANGU BWANA WANGU 🔥 | 2 Hour Deep Worship & Prayer | Swahili Gospel Mix

