NOVENA ISIYO SHINDWA KITU by Msgr Deogratius Mbiku

Novena ya siku 54, ni novena isiyo shindwa kitu chochote unapata unachokiomba kwa 100% kwa sababu unamuomba Mungu moja kwa moja.