WAZIRI AWESO AVUNJA KAMATI YA MRADI WA MAJI KWAMSISI, WASIMAMIZI WAKAMATWA KWA UBADHIRIFU
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, amevunja Kamati ya Mradi wa Maji Kwamsisi na kuagiza kukamatwa kwa wasimamizi wote wa mradi huo kufuatia tuhuma za ubadhirifu wa fedha za wananchi. Katika ziara yake wilayani Handeni, Tanga, Waziri Aweso alibaini mapungufu makubwa katika usimamizi wa fedha na kutoa maelekezo ya kuchunguza matumizi yote ya mradi huo. Angalia video hii kwa taarifa kamili juu ya hatua zilizochukuliwa na Waziri Aweso dhidi ya dhuluma kwa wananchi wa Kwamsisi. Mwandishi: John Mwonga

▶︎
ALIYEJIFANYA INJINIA AZIMIA, ABANANISHWA NA WAZIRI AWESO, ASHINDWA KUJIELEZA

▶︎
WAZIRI AWESO Amtumbua MENEJA RUWASA, AKASIRIKA Kukuta MAJI HAYATOKI Kisa ELFU 50 - "TAFUTA KAZI"..

▶︎
Waziri Juma Aweso Ashangaa Watendaji wa Maji Kutaja Uchawi Kwenye Maji, Asimulia Alivyowashughulikia

▶︎
MILIONI 600 ZAIBIWA ARUSHA, MAKONDA ACHANGANYIKIWA, AWABADILIKIA VIONGOZI WAKE Yani MOTO UNAWAKA,.🙌🙌

▶︎
Pakistani Truck Parts Repair with a Master Mechanic Amazing Restoration

▶︎
WAZIRI AWESO ALIVYOWASWEKA NDANI VIGOGO 6 wa MRADI wa MAJI SENGEREMA...

▶︎
''WEWE NISIKILIZE'' - WAZIRI AWESO AMBANANISHA MENEJA wa MAJI HADI AKAPATA KITETE - AMSIMAMISHA KAZI

▶︎
Simulizi ya mfanyabiashara aliyesababisha Waziri Mkuu kumsimamisha kazi ofisa wa TRA

▶︎
HECHE AMCHANA SAIDI ISSA MOHAMED AMUITA MSALITI SIO MWENZETU | ANATUMIKA ALIFUNGUA KESI YA UONGO.

▶︎
BREAKING! SAMIA KUMNG'OA NCHIMBI PUNDE | HOJA YA KUTOKUWA NA IMANI NA MAKAMU KUWASILISHWA BUNGENI

▶︎
WAZIRI AWESO AMTUMBUA MHANDISI ALIYEMDANGANYA

▶︎
Exclusive KWAMSISI- Mji wa KUTISHA uliowatesa Watumishi wa Serikali kwa Uchawi, wengi wameteswa sana

▶︎
WAZIRI AWESO AJIFANYA MTEJA, APIGA SIMU HUDUMA KWA WATEJA DAWASA, SIKIA ALIVYOJIBIWA

▶︎
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKASIRIKA - AMTUMBUA INJINIA PAPOHAPO - AAGIZA MKURUGENZI ALIYESTAAFU AITWE...

▶︎
MBUNGE WA KATAVI AVUNA PESA BUNGENI BAADA YA KUGONGA NONDO ZITO JUU YA UVUNJIFU WA MAADILI.

▶︎
AWESO ACHARUKA KWA MKANDARASI HANDENI, AMPA SIKU 7 KUFIKISHA MAJI KWA MSISI

▶︎
Naibu Waziri Aweso amuweka ndani Mhandisi wa maji Pangani

▶︎
HAKUNA KUONGEZEANA MUDA: WAZIRI AWESO AELEKEZA MRADI WA MAJI MPANDA UKAMILIKE KWA HARAKA.

▶︎
DC WA MUHEZA AMPIGIA WAZIRI AWESO MAGOTI AKIOMBA MAJI, AWESO ATOA SIKU 7

▶︎
