VIPI

Vipi wataka ninyamaze.......sitakaa kimya, nilikuwa kipofu na sasa ninaona. Upofu wangu wa kiroho uuondoe bwana ili nipate kuyaona vyema mambo yanipasayo.......usichoke nami bwana, niguze nipate kuona.