John Komba wa CCM - Sasa Kumbekucha Jogoo limekwisha wika, yule pale nnamuona, apewe kura za ndio.

Captain John Komba akiwa pamoja na wana TOT wakiimba "Sasa Kumekucha" pale Dodoma kumuombea Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kura za ndio.