SURA YA MAREHEMU

macho ya kijana Swedi yapigwe na mwanga mkali, kitu kilichomfanya ayafumbe kabla ya kuyafumbua taratibu ili yazoee hali ile. Ilikuwa ndiyo siku yake ya kuachiwa huru kutoka kwenye kifungo kirefu.