Wajumbe wa baraza la wawakilishi walijia juu suala la uingizwaji Pombe Zanzibar, Wasema hawalitaki

Wajumbe watatu wa baraza la wawakilishi zanzibar walijia juu suala la uingizwaji wa pombe, wasema linagharibu maadili ya zanzibar, washauri kuondoshwa kabisa wawekezaji wanaoingiza bidhaa hizo