TOM BOY _ EP01

Tom boy ni tamthilia ya kiswahili iliyofanywa na wanatiktok kutoka likoni…ili kuwasilisha maisha halisi na matukio ambayao hutokea katika jamii ya sasa. #comedy #bongo #swahilimovies