Rais Barack Obama apata mapokezi ya kishindo jijini Dar es Salaam.

Rais Barack Obama wa Marekani amewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam na kupokewa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete.