WALIOINGIA KWENYE 18 ZA WAZIRI AWESO WAKIPATA CHA MOTO “ASKARI KAMATA HUYU”
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewatia mbaroni Mhasibu na Mwenyekiti wa Jumuiya ya watumiaji Maji wa kijiji cha Berege kilichopo Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma baada ya kubaini ubadhirifu wa fedha katika jumuiya hizo ambapo pia ameagiza kuvunjwa kwa Jumuiya hiyo na kutaka jumuiya zote nchini ziundwe upya kwa kuzingatia uwepo wa wataalamu wa maji na wahasibu wenye Taaluma. Waliotiwa mbaroni na kupelekwa kuhojiwa katika kituo cha Polisi Wilaya ya Mpwapwa ni Scolastika Simbangulu, ambaye ni Mhasibu na Gideon Chesco Mwenyekiti wa Chombo cha watumiaji maji. Aweso amesema jumuia hizo zimegeuzwa kichaka cha watu kugawana fedha hali inayozorotesha upatikanaji wa maji hivyo kila Jumuiya nchini zinapoundwa zizingatie uwepo wa watu wenye utaalamu ili kuepusha ubadhilifu wa fedha za maji.

WAZIRI AWESO AMBANA KIONGOZI ALIYEMDANGANYA, Ampigia SIMU KATIBU MKUU - "WAONDOE"...

Waziri wa AWESO alivyowazingua Wahandisi wa Maji. Ukinizingua, Tunazinguana

AWESO AKASIRIKA VIBAYA, AMBANANISHA VIKALI AFISA UGAVI DAWASA - "KWANINI UMENIDANGANYA? WE NI NANI?"

ALIYEJIFANYA INJINIA AZIMIA, ABANANISHWA NA WAZIRI AWESO, ASHINDWA KUJIELEZA

ARUSHA KIMEUMANA! MAKONDA AMBANANISHA MWANANCHI - ''KUUZA KIWANJA MARA MBILI, RPC NAOMBA MWEKE NDANI

WAZIRI AWESO ALIVYOWASWEKA NDANI VIGOGO 6 wa MRADI wa MAJI SENGEREMA...

KICHAA WA TAIFA, NDUGU WAME-BLOCK, POLISI WAMEMFUNGA, ANAPIGWA KAMA MBWA KOKO

ALIYEPEWA UJAUZITO AKIWA MWANAFUNZI ADAI MTOTO, WAZIRI MKUU ASEMA “WAKUTANISHWE”

WAZIRI AWESO Amtumbua MENEJA RUWASA, AKASIRIKA Kukuta MAJI HAYATOKI Kisa ELFU 50 - "TAFUTA KAZI"..

KAMATI YA MARIDHIANO SIX JUSSA JUSSA JUSSA 14 APRIL 2014

AWESO ACHUKIZWA AMSIMAMISHA MENEJA DAWASA KINYEREZI "SIJAJA KUCHEZA WALA KUUZA SURA"

Waziri Aweso aagiza kuvunjwa Jumuiya ya watumiaji maji Berege|Atoa onyo kali

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKASIRIKA - AMTUMBUA INJINIA PAPOHAPO - AAGIZA MKURUGENZI ALIYESTAAFU AITWE...

MWANA FA BUNGENI, ASHUSHA NONDO, WAZIRI AWESO ACHUKUA PENI NA KUANDIKA...

Waziri AWESO AMTUMBUA ELIZA bila huruma, wananchi walipuka kwa shangwe

VIDEO: WAZIRI AWESO APIGIA GOTI WANANCHI KUWAOMBA MSAMAHA KWA KUKOSA MAJI MKOANI KIGOMA

MAKAMU WA RAIS MPANGO AKASIRIKA, 'SHUKA CHINI, ACHA KUNIPIGA MBWEMBWE HAPA, UNAJIONA UNATOSHA?

BREAKING: Malala kicked out of DCP

''WEWE NISIKILIZE'' - WAZIRI AWESO AMBANANISHA MENEJA wa MAJI HADI AKAPATA KITETE - AMSIMAMISHA KAZI

