KUNENA KWA LUGHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Matendo ya Mitume 2:2-4 Kukaja ghafula toka mbinguni uvumi kama uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi. Kukawatokea ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao. Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka. Biblia inasema wote wakajazwa na Roho Mtakatifu.Lakini kanuni ya kwanza kabla hujampokea huyu Roho Mtakatifu ni lazima uwe umempokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Fuatiliza hii Sala ya toba ninayokuongoza. Katika maombi haya ya Ujazo wa Roho Mtakatifu utaenda kumuona Mungu kwa namna iliyo kuu.Kinachohitajika ni Imani yako tu,na kinachotakiwa ni wewe kuwa na kiu ya kujazwa naye. #PastorSunbella#Kunena#KwaLugha

ROHO MTAKATIFU II (FAIDA ZA KUNENA KWA LUGHA) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

KUFAHAMU KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU NA JINSI YA KUZITUMIA || PASTOR GEORGE MUKABWA

Kunena Kwa Lugha

VITA KWA WALIOBEBA MAONO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Njia tatu za kuuingia ulimwengu wa Roho, mwili na nafsi

🔴#LIVE: 16/9/2021 - MAKAMBI MGOLOLO - DAY 6: UKWELI KUHUSU KUNENA KWA LUGHA - PR. DAVID MMBAGA

KUNENA KWA LUGHA NA DR MWALUSAMBO #kingdomphilosophy #biblequestions #bible

SIRI NZITO: Watu Ambao Sio Binadamu Kwenye Mifumo Yetu - Askofu Gwajima

JINSI YA KUSHINDA ROHO YA KUKATA TAMAA

FAIDA TANO ZA KUFUNGA NA KUOMBA - Innocent Morris

MIGUU ILIYOHAMISHWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

FAIDA 8 ZA KUNENA KWA LUGHA Part1 || NABII DEO L. NJENI

NAFASI YA VAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

JINSI YA KUMPATA ROHO MTAKATIFU|UJAZO WA ROHO MTAKATIFU|KUNENA KWA LUGHA|Mch.Amiel Katekela

FAIDA NANE(8) ZA KUNENA KWA LUGHA || PASTOR GEORGE MUKABWA || 28/03/2024

🔴 MAOMBI YA KUNENA KWA LUGHA MPYA | MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA

KUNENO KWA LUGHA KUNASAIDIA KUFUNGUA MBINGU ZILIZOKO JUU YAKO // MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:

Dr.Luis Malole _SAA MOJA YA MAOMBI YA KUNENA KWA LUGHA (powerful tongues prayers)

KUNENA KWA LUGHA

