EE MUNGU NIUMBIE MOYO SAFI, PARTY 02 |Mwl Ephrahim Ernest | 20 July, 2026
EE MUNGU NIUMBIE MOYO SAFI ‘‘Ee Mungu, uniumbie moyo safi,Uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu’’ Zaburi 51:10 #mwlbenjaminabel #mwllazarojulius #keshanakristo #maombiyaasubuhi #maombiyausiku Karibu katika Maombi katika lango la saa Kukabidhi Siku kwa Mungu pamoja na Mwl Benjamin Abel. Tunakutana kila siku saa 6:00 usiku hadi saa 6:30 usiku kwa maombi maalum ya kumkabidhi Mungu siku inayofuata, maisha yetu, familia zetu na kazi zetu. Katika dakika hizi 30 tunaomba: Mungu atutangulie katika siku yetu Atufungulie milango ya baraka na mafanikio Atulinde dhidi ya mabaya na mipango ya adui Alete amani, neema na ushindi katika kila jambo Tunaamini Mungu akitangulia, siku yako itakuwa na ushindi. “Mkumbuke BWANA katika njia zako zote, naye atanyosha mapito yako.” – Methali 3:6 Jiunge nasi kila siku katika maombi ya kukabidhi siku kwa Mungu, na ushuhudie mkono wa Mungu ukitenda kazi katika maisha yako. Kwa Mawasiliano zaidi: +255 765 853 859

BARAKA ZA WANA WA MAAGANO | Mwl Benjamin Abel | 24 July, 2026

EE MUNGU NIUMBIE MOYO SAFI | PART 03 | Mwl Ephrahim Ernest | 22 July, 2026

EE MUNGU NIUMBIE MOYO SAFI | PART 03 | Mwl Ephrahim Ernest | 21 July, 2026

Bishop G.E. Patterson | Why God Sometimes Leads You Through Hard Places

NYIMBO ZA KUABUDU. DEEPEST SWAHILI WORSHIP SONGS MIX.

LIVE🔴:IBADA YA JIONI || MAKAMBI MTAA WA MAJIMOTO

🔴LIVE: Dar yatikisika! Gwajima akamata waliotajwa kuwa misukule (Full Video)

CHOSEN ONE!! YOUR IDENTITY REVEAL JUST SHOOK THE INTERNET... AND THEIR MINDS

Unapopitia wakati mgumu Omba hivi mungu atajibu maombi yako //pr.david mbaga #maombi #mahubiritv

Swahili Praise & Worship Songs 🙏 | Powerful Kiswahili Gospel Worship for Prayer, Meditation & God's

EE MUNGU NIUMBIE MOYO SAFI | PART 03 | Mwl Benjamin Abel | 2 July, 2026

NYIMBO ZA MAOMBI 🙏 | Wimbo wa Kuomba na Kumlilia Mungu (Gospel 2026)

🔴#LIVE: 15.07.2026 || HATUA TATU ZA KUPATA SEHEMU YA 1 || PR DAVID MMBAGA

2.KUSHUGHULIKIA USINGIZI WA KIROHO | Mwl Lazaro Julius | 16 july 2026

Morning Worship Songs 2026 - Top 100 Christian Worship Music | Peace, Prayer & Goodness Of God

Ukiona unaomba na hujibiwi fanya hivi MUNGU ATAANZA KUJIBU MAOMBI YAKO//PR.DAVID MBAGA#maombi#ibaada

MAOMBI KATIKA LANGO LA SAA |Mwl Benjamin Abel | 24 July, 2026

Prayer and Worship Session with Apostle Grace Lubega

NISEME NINI BABA? | Deep Swahili Worship Mix | Maombi ya Kuvunja Moyo

