Mbunge Lema alivyosimama kupinga maelezo ya RC Gambo
October 18 2016 kumefanyika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi katika hospitali ya mama na mtoto inayojengwa eneo ya Buruka nje kidogo ya jiji la Arusha, lakini shughuli hiyo ilisimama baada mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema kusimama kupinga hotuba iliyokuwa ikisomwa na mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. Mbunge Lema alisimama kupinga hotuba hiyo akidai imejaa upotoshwaji na siasa ndani akisema yeye ndiye aliyetafuta eneo hilo la ujenzi kutoka kampuni ya Mawala Advocate na sio kweli eneo hilo limetokana na maono aliyokuwa nayo Marehemu Advocate Nyaga Mawala. Unaweza kuangalia video hii hapa chini

▶︎
MAMA ALIYEZUIA KIJANA KELVIN ARUSHA ASIUAWE AKABIDHIWA MILIONI TATU NA NUSU, KANISA KUJENGWA SIKU 3

▶︎
🔴#LIVE:GOOD MORNING NDANI YA WASAFI FM 15-06-2026

▶︎
WANAFUNZI WAWILI WALIOFARIKI BAADA YA CHUMBA CHAO KUCHOMWA MOTO, MWENYEKITI WA MTAA ASIMULIA

▶︎
GAMBO amjibu MAKONDA bila uoga adai hana ELIMU anatakiwa kuelimishwa

▶︎
Historia ya Hayati Luteni Jenerali Silas Mayunga Vita Vya Kagera.

▶︎
Maneno Magumu ya Lema Msibani kwa Ali Kibao: 'Nimeshakufa Jana, Mke Wangu, Watoto Wanalia'

▶︎
KIONGOZI ALIYESEMA SATO, KAMBARE WANINI AFUNGUKA ZNZ HAIHITAJI SATO, SOKONI HAWAPO VIJANA WAWEZESHWE

▶︎
🔴#LIVE: BUNGE LA BAJETI, WABUNGE WANAIKAANGA SERIKALI BUNGENI MUDA HUU

▶︎
"MBUNGE wa HAPA (GAMBO) ANATAKIWA KUWA JELA Kama SABAYA, NITAMUELEZA RAIS" - LEMA

▶︎
Maelezo ya RC Gambo yaliyosababisha Mbunge Lema kusimama na kumpinga

▶︎
LEMA AFUNGUKA KUMGOMEA KUMSALIMIA MAKONDA MSIBANI KWA LOWASA "AMESHACHAFUA JINA LAKO"

▶︎
AMSHITAKI MMEWE KWA WAZIRI MKUU "ANAJINYEA TU" Wananchi Wavunjika Mbavu

▶︎
KIMEUMANA! GAMBO na MKUU wa WILAYA WACHARUANA MBELE ya RC MAKONDA -"ACHA CHOCHOKO TUFANYE KAZI "

▶︎
Mbunge wa CCM na Mkuu wa Mkoa warushiana maneno hadharani “anatishia bastola,sitishiki"

▶︎
Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka

▶︎
MAKONDA AAMBIWA HANA AKILI, "NANI MJINGA?" ONA KILICHOMPATA HUYO JAMAA

▶︎
PART 02: ARUSHA YASIMAMA, MKASA WAKUSIKITISHA WA MAMA HUYU MBELE YA RC MAKONDA

▶︎
MAMA ALIYEZUIA KELVIN ARUSHA ASIUAWE ALIA KWA FURAHA BAADA YA KUAHIDIWA GARI, APIGA MAGOTI KUSHUKURU

▶︎
MBUNGE GAMBO AMFYATUKIA MAKONDA - "USIWATUME MADIWANI KUTAKA UBUNGE - SUBIRI MUDA UFIKE TUPAMBANE"..

▶︎
