Askofu Kakobe : Manabii feki | Mafuta ya Upako ni Utapeli | Wakristo amkeni

Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Zacharia Kakobe amemuomba Rais Magufuli kuingilia kati suala la Manabii feki wanaotapeli watu kwa kisingizio cha Miujiza